Kuna ile unafanya kazi kwenye Microsoft word then PC inazima au unatoka bila ku-save na kazi yako inapotea.
Hii inakera sana inakubidi uanze upya kuandika kazi
What if nikikwambia kuna njia rahisi ya kuirudisha kazi iliyopotea bila kuseviwa??
ππΎ
BONDIA ALIYEANGUKA ULINGONI DODOMA AFARIKI
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Ibrahim Najum kutoka jijini Mbeya amefariki Dunia mchana wa leo katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma (General) alipokuwa akipatiwa matibabu.