ONE MALL - KILA KITU KWA URAHISI!
Unatafuta bidhaa? Au una bidhaa na unatafuta wateja? One Mall inakutanisha wanunuzi na wauzaji sehemu moja.
Ingia Fursa Hub, tembelea One Mall, chagua bidhaa unayohitaji au weka bidhaa yako na anza kuuza.
Kiuchumi, watalii zaidi wana maana ya kuongezeka kwa fedha za kigeni na biashara kwa hoteli, kampuni za utalii, waongoza watalii, migahawa, usafiri, sanaa na huduma nyingine zinazounda mnyororo wa thamani wa utalii.
Inaendelea....👇👇👇👇
https://t.co/QCcTAicbN4
MATUNDA YA DIPLOMASIA YA UCHUMI, BA YAREJEA TANZANIA.
Na Mwandishi Wetu
MATUNDA ya diplomasia ya uchumi inayotekelezwa na Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yameendelea kuonekana baada ya Shirika la Ndege la British Airways (BA), moja ya majina makubwa katika usafiri wa
takribani saa 10, ikiwapeleka wageni karibu na Mlima Kilimanjaro pamoja na vivutio vya Serengeti, Ngorongoro na Tarangire. Ndege hiyo itaendelea Zanzibar, hivyo kuunganisha utalii wa mbugani na ule wa fukwe katika safari moja.
Good Morning na Jamvi la Habari.
◾️Wasira: CCM itaendelea kuwa mfano wa Demokrasia nchini.
◾️Dkt. Mwigulu aipongeza Tanesco kutumia wataalamu wa ndani.
◾️Wanafunzi 2,660 washiriki mashindano ya Sayansi YST 2026.
◾️Tanzania yaaswa kugeuza changamoto za mazingira kuwa fursa.
GOOD MORNING NA JAMVI LA HABARI.
◾️TSHISEKEDI NA VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.
◾️WATAHINIWA MILIONI 1.16 KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA SABA LEO.
Taifa halihitaji watu wanaosherehekea matatizo yake, linahitaji watu wenye mawazo ya kulijenga Taifa. Kejeli za namna hii hazijengi nchi @HildaNewton21