Mwanzilishi wa Vikosi vya #Uhamasishaji wa Wananchi wa Iraq (Popular Mobilization Forces), Abu Mahdi al-Muhandis, alisema:
“Lengo letu si Israel🇮🇱, bali lengo letu ni Makkah, Madinah, Riyadh na nchi za Ghuba.
Na kauli mbiu kuhusu Jerusalem tunazotumia ili kufikia malengo hayo.”
Sheikh Saleh Al-Maghamsi, Imam of Masjid An Nabawi صلى الله عليه وسلم, said during a televised interview:
Targeting the Qiblah of the Muslims is not an ordinary military act; rather, it is an attack on the faith of more than two billion Muslims and a provocation of the feelings of the Muslim Ummah.
The terrorist militia has proven itself to be a proxy serving foreign agendas — Iranian and imperialist — rather than a defender of Islam as its slogans claim.
The contradiction is clear: they raise slogans of “Death to America and Israel,” while directing their weapons toward the purest of lands and the holiest of sacred sites.
The security of the Two Holy Mosques is a red line. Allah has preserved His Sacred House through His protection, followed by the efforts of the Saudi forces.
🎙️Grand Mufti of Saudi Arabia, Sheikh Saleh Al-Fawzan ;
“The Houthis who launched the missile toward the Mecca area are following this legacy—the legacy of those tyrants and false gods.
Allah protects His House, glory be to Him. They only harm themselves and expose themselves.
They claim Islam, but Allah has exposed them with this heinous crime whose predecessor was the wicked Abyssinian Abraha. So Allah exposed them, glory be to Him, and invalidated their claim to Islam.
This House is under Allah’s protection and care because it is the House of Allah; that is why it is called al-Ateeq, because Allah frees it from the tyrants who intend it harm.
As the saying goes, history repeats itself. These people have repeated the history of Abraha the Abyssinian by sending this missile. They are repeating Abraha’s history, and what happened to them is like what happened to Abraha:
Allah turned their plot astray, protected His Ancient House, and exposed them, glory be to Him.”
Houthis told US officials in an Oman meeting that they won't attack American vessels, Israeli ships, or commercial vessels — only Saudi ones.
This is a notable shift.
Since after the May 2025 ceasefire the Houthis explicitly excluded Israel and kept targeting Israeli-linked shipping.
The meeting included sanctioned Houthi official Mohammad Abdulsalam and Abdelmalik al-Ajri.
Source: Reuters
@shaunking موجود في عقيدة الشيعة تدمير مكة والمدينة
انت هنا حتى تناقض عقيدة الشيعة نفسهم وهذا هو كتابهم
ثقف نفسك اولا
@grok
كم عدد المساجد التي دمرها الحوثي في اليمن
Ukiangalia ramani ya Saudi Arabia🇸🇦 [kijeshi na kiuchumi] basi utaona ina shabaha kibao zenye uzito na miji mingi sana ya kimkakati📚💦
(i) Kama lengo ni kuitikisa serikali [vita ya kijeshi au kiuchumi] basi kuna Riyadh - Capital City
Hiki ndio kitovu cha maamuzi ya kisiasa na kiutawala
(ii) Kama lengo ni kudhoofisha uchumi na mafuta basi kuna Dammam au Ras Tanura
Hapo ndiko kuliko miundombinu mikubwa ya mafuta na uchumi wa nchi
(iii) Kama lengo ni njia za vifaa vya kijeshi basi kuna Tabuk au Najran
Hayo ni maeneo yenye kambi na kanda za kijeshi zilizopo mpakani
(iv) Kama lengo ni njia za biashara basi kuna Jeddah au Yanbu
Hayo ni maeneo yenye bandari kuu za kibiashara na viwanda
Kwa Nini Target Iwe Haram?!
Tufanye bomu likatua pale Makkah na kulipuka... matokeo yake yatakuwa ni nini?!
Mbali na maafa na vifo vya watu wasio na hatia wanaofanya ibada, Huthi watakuwa wamepata faida gani ya kijeshi au kiuchaguzi kwa kuilipua Haram?!
Hivi watakuwa wameongeza kitu gani cha maana kwenye urasimu wa vita?!
Shambulio kwenye eneo takatifu halikupi ushindi wa kivita, bali linakuvua kabisa uhalali [legitimacy] linakugeuza kuwa adui wa mabilioni ya Waislamu duniani kote, na kuharibu sababu yoyote uliyokuwa unagombea
Bado Najiuliza: Ni mantiki gani ipo nyuma ya target kama hii?!
Ndugu Yako
Abuu Abdillaah Al-Muhawiyy
Singida
UHALISIA WA TUKIO💦📚🇸🇦
Picha Inayosambaa Mtandaoni Kuhusu Imamu Kukamatwa Saudi Arabia
Kuna picha na video inayosambaa kwa kasi sana inayomuonyesha mtu akishushwa kwa nguvu kutoka juu ya mimbari ndani ya msikiti nchini Saudi Arabia kwa madai ya kuikosoa Marekani
Wengi wanaisambaza kana kwamba ni tukio lililotokea jana au wiki hii
Lakini ukweli ni kwamba video hiyo ni ya miaka kadhaa iliyopita na kila mwaka inaposambazwa inakuja na habari mpya
ZINDUKA...
Taarifa hii sio ya kweli na ni mwendelezo wa habari za uongo zinazotengenezwa kwa ajili ya kuulaghai umma kupitia picha za zamani zilizoondolewa kutoka kwenye muktadha wake halisi
UKWELI WA TUKIO
(i) Tukio la Zamani [Machi 2018]
Picha inayotumiwa kwenye ujumbe huo ilichukuliwa kutoka kwenye video ya tukio lililotokea 02/03/2018 katika Msikiti wa Al-Jabriya uliopo eneo la Yanbu, nchini Saudi Arabia
(ii) Hakuwa Imamu Wala Sheikh
Mtu anayeonekana akiondolewa mimbari na askari hakuwa imamu wa msikiti huo wala kiongozi wa dini
Alikuwa ni mzee wa mtaani tuu ambaye alipanda kwenye mimbari bila ruhusa ya msikiti tena kabla ya swala kuanza na kutaka kuongea
(iii) Ufafanuzi wa Mamlaka na Vyombo vya Habari
(a) Msemaji wa Wizara ya Masuala ya Kiislamu katika Mkoa wa Madinah, Maajid Al-Muhammadi, alisema:
"Mtu mwenye matatizo ya akili alijaribu kutoa khutba"
(b) Baada ya tukio hilo, Polisi wa Mkoa wa Madinah walitoa tamko lao rasmi kuhusu mtu huyo wakifafanua kuwa Mzee huyo aliondolewa mimbari kwa usalama wake na wa waumini
Taarifa ya Polisi Ilisema
"Alikuwa akitamka maneno yasiyokuwa na mfuatano wa kawaida"
Polisi waliongeza kuwa uchunguzi ulionyesha kuwa alikuwa na historia ya matibabu hospitalini na baadaye alikabidhiwa kwa familia yake kwa ajili ya kuendelea na matibabu na uangalizi
(c) Gazeti la Okaz la Saudi Arabia liliandika:
"Waumini wa Msikiti wa Al-Jabriya huko Yanbu walishangazwa na mzee aliyepanda mimbarini na kusisitiza kutaka kutoa khutba"
Ripoti hiyo inaeleza kwamba mzee huyo alipanda mimbarini kabla ya khatibu rasmi kufika
Baadhi ya waumini walijaribu kumzuia lakini alikataa kushuka, jambo lililosababisha kuingilia kati kwa vyombo vya usalama
(d) Gazeti la Ar-Riyadh pia liliandika:
"Mtu mwenye matatizo ya akili alijaribu kutoa khutba msikitini"
KAULI YA KHATIBU WA MSIKITI
Naye khatibu rasmi wa Msikiti wa Al-Jabriya, Sheikh Abdurrahman Al-Ahmadi, alisimulia alichokikuta alipofika msikitini:
"Nilishangaa nilipofika kwa ajili ya khutba ya Ijumaa na Swala nikamkuta mtu tayari yuko juu ya mimbari akihubiri"
Sheikh huyo akaongeza kwamba alipomwomba ashuke alimjibu:
"Amedai kuwa ametumwa na Wizara ya Awqaf [Masuala ya Kiislamu] ya Madinah"
ULAGHAI WA MAELEZO
Jambo muhimu sana ambalo watu wengi hawalijui ni kwamba mpaka leo hakuna rekodi ya wazi ya khutba yake wala nakala ya maneno yake iliyothibitishwa hadharani
Ndiyo maana kwa miaka yote tangu mwaka 2018, video hiyo imekuwa ikipewa maelezo tofauti tofauti
(i) 2018: palisemwa Imamu amekamatwa kwa kumkosoa mwanafalme Muhammad bin Salman
(ii) 2023: pailisemwa Imamu amekamatwa kwa kuiunga mkono Palestina au kutaka vita dhidi ya Israel
(iii) 2024–2025: palisemwa Imamu amekamatwa kwa kukosoa sera za Saudi, Marekani au Israel
Na sasa 2026 wanaandika kuwa alikuwa anaikosoa Marekani
Lakini madai hayo yote hayajaambatana na ushahidi wa wazi wa maneno aliyoyasema juu ya mimbari
Na kadiri simulizi za video zinavyobadilika kila baada ya muda kupita, ndivyo inavyokuwa vigumu kuamini simulizi yoyote mpya bila ushahidi mpya
Zaidi ya hayo, mantiki ya kawaida inakataa...
Kama kweli kungekuwa kuna Imamu amekamatwa kwenye mimbari nchini Saudi Arabia kwa kuikosoa Marekani, vyombo vikubwa vya habari vya kimataifa [kama BBC, Al Jazeera, CNN, au Reuters], mashirika ya haki za binadamu, na taasisi zinazofuatilia uhuru wa kujieleza vingeripoti habari hiyo mara moja kama 'Breaking News'
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, huku likisisitiza kuwa halitawalinda watu watakaoshiriki vitendo hivyo.
⚽️ What is the Ruling on Football Players Prostrating in Gratitude During a Game (upon Scoring a Goal or Winning the Match)? Shaikh Sālih al-Fawzān…
Shaikh ʿAbdul-ʿAzīz Ibn Bāz said, “In these times there is exaggeration and obsession over football...”
https://t.co/xlIsmp30QO
⚠️Leo MASHIA duniani kote wanawafundisha watoto wao kuwachukia,kuwalaani na kuwatukani maswahaba wa mtume ABUBAKAR NA UMAR kama wanavyowafundisha sura katika Qur-an
💥VIDEO CLIP MPYA💥
MAKATAZO KWA MUSILAMU KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA
🎤SHEIKH ABUU HASHIM ABDUL-KAADIR AL MUSAAWA حفظه الله تعالى ورعاه
KUPATA FAIDA ZAIDI JIUNGE HAPA WHATSAPP CHANNEL 👎👎
https://t.co/Kq9CsP3cyu
◈◉✹❒ 🎙️🎙️ ❒✹◉◈
The Roots of Christmas:
How should Muslims regard Christmas?
How should they behave during non-Muslim festivals?
Should we exchange gifts and cards?
What about Xmas dinner?
What is the Muslim belief regarding Jesus?
Please read and share:
https://t.co/3DrOeXMDmu
✍️🏻قال العلامة ربيع المدخلي رحمه الله
" أهل السُّنَّة قليلون جداً
كالشعرة البيضاء في الثور الأسود،
فيجب أن يجتهدوا في إنقاذ كثير من الناس
بالعلم الصحيح وتكثير سواد أهل السُّنَّة،
ولا يحصل ذلك إلا بالجِد في تحصيل العلم
والجِد في نشر الدعوة. "
مرحبا ياطالب العلم (296)📖