Welcome to @ChillSoka...
Akaunti hii inajihusisha na masuala ya mpira wa miguu tu....
Good vibes and roasting hapa ndio mahali pake๐ฅ๐ฅ...
#Repost ๐
#ChillSoka
Hawa wazee wakiamua kushikilia mitandao hawabahatishii๐ฅ๐ฅ๐๐.
Na wote wanajua kujieleza vibaya mno
Ukiwa unataka kutetemesha uongozii wa timu unapita na nani hapa? ๐
MANGUNGU or MAGOMA
Wanasema ukitaka ubingwa Epl itabidi uwapige Tripple B.. Brighton.. Bournamouth na Brentford...
Chelsea wamewapiga wawili Kati ya 3...
Itoshe kusema Chelsea ndio bingwa wa Epl msimu huu??
#NoChillSoka