Welcome to @ChillSoka...
Akaunti hii inajihusisha na masuala ya mpira wa miguu tu....
Good vibes and roasting hapa ndio mahali pakeπ₯π₯...
#Repost π
#ChillSoka
Asante Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine katika safari ya maisha yangu tangu mwanzo hadi sasa.
Naomba maisha yangu yaendelee kuwa ushuhuda wa wema wako,pia nisifanye kitu pasipo baraka zako na kila ninapokwenda nisiwe mbali na mkono wako.
Happy birthday to me ππ½
MR BLUE mke wake alikutana nae club maisha safi tu
Anakili kwa kusema
"Ni kweli mke wangu ninayeishi nae nilikutana nae Club Bilicanas Jumapili mchana kulikuwa na Disko Toto. Nimeanza nae 2003 wakati naanza game na nikapata demu ambae ndio yule mke wangu"
βIf you believe you are right but still people criticize you, hurt you, shout at you, don't bother, just remember in every game, only audience makes noise not players, be a playerβ
_IRON MAN
Happy customer Services week
Naomba Repost Yako ππ₯°
Hizi saa unajipatia Bei Rahisi Sana
Tsh.15000
β0752777167
πMwananyamala popote Tanzania unapata
π¨JUST IN: Mshambuliaji wa simba ibrahimu Doumbia aweka kiapo juu ya dabi
Ameahidi asipomfunga yanga katika mchezo wa octoba 10, nyumba yake iliopo mjini bamako nchini mali ichomwe moto hadi kuteketea
Maneno hayo ameasema kupitia account yake ya mtandao wa thread
Mushkerii imetokea kwenye mechi ya Afcon u20 Kati ya Tunisia na Libya
Ambapo Libya walikuw wanashambulia lango empty LA Tunisia dakk za majeruhi
Lakin mwamuzi wa pembeni aliamua kuita offside na kuzuia uwezekano wa kupat bao kwa Libya
Kwa mtazamo wako.. mwamuzi alikuwa sahih?
π¨JUST IN: Mshambuliaji wa club ya yanga peter shalulile hatakua sehemu ya kikosi kitakachowakabili simba mnamo octoba 10 kutokana na majeraha alioyapata akiwa timu ya taifa
Mchezaji huyo aliumia katika mchezo wa Namibia vs Russia ambapo namibia alipoteza kwa kufungwa 5-0
I am writing to formally inform you that effective from October 4, 2026, this account will officially change it's name from JESUS COUSINπ to POMPI CLICKS
This is due to Business and Ethical Reasons
Your's truly
@PompiClicks
Mushkerii imetokea kwenye mechi ya Afcon u20 Kati ya Tunisia na Libya
Ambapo Libya walikuw wanashambulia lango empty LA Tunisia dakk za majeruhi
Lakin mwamuzi wa pembeni aliamua kuita offside na kuzuia uwezekano wa kupat bao kwa Libya
Kwa mtazamo wako.. mwamuzi alikuwa sahih?