Unaweza kuteleza
Unaweza kujikwaa
Unaweza kuanguka
Unaweza kuumia
Unaweza kulia
Unaweza kupoteza
Lkn kitu kimoja hutakiwi kufanya katika maisha ni kukubali kubaki chini.
Pitia kila hali ngumu, ila usikubali kukata tamaa
Huu ndio ushauri wangu leo kwa kijana yeyote.