Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah π
Mimi ndio mtu pekee ambae sjawahi Kumblock mtu, unaweza kunitukana uwezavyo, wala sjali na siumii kwa Chochote, wala pia siogopi kukosolewa public, Hivi ndivyo mtu unatakiwa kuwa Jifunze kuvumilia tamu na chungu, utajikuta automatic umekuwa imara.