@TitoMagoti@AirTanzania panda basi ndio kampuni serikali hana mda mnao labda mwendo kasi.yeye ni mfanyabiashara mpaka mandonga na stive mwanamke ndio watu wake
@JemsiMunisi unadanganywa kwa sababu gps za simu utegemea mawasiliano na si setelite bila mawasiliano. simu hizo bei yake zinazotegemea setelite yani kitochi tu milioni 4 za kitanzania au laini inayotegea setelite milioni 2 . ingia aliexpress
@LIldephonce stive nyerere katueleza nape watu wanageuka kuunga juhudi kulingana na trend kwa hiyo bwana nyape ni mama na sisi mwanaume wa kisukuma aliyetoka
@PauloNaSilla 😂 sasa mpo wenyewe kama wafanya biashara kasoro prission air .wekeni ruhusa kampuni zijidai ndani muone cha moto .ila mnakula hasara sema pokea pesa kumaliza bando lako