@Roma_Mkatoliki ๐๐๐Hatarii, Tuachane na hayo sema wakuu
Hii nembo ya muhimbili huyu nyoka anafata nini kwenye mwenge??
Kuna mwenye idea yoyotee wakuu
No 01;
๐๐ฟ . Download na Install App ya Instabridge.
๐๐ฟ. Fungua App yako.
๐๐ฟ. Ikikuomba Access ya Kitu chochote Iruhusu. Mimi nimeiunga na email yangu ya google
๐๐ฟ. ItaInstall Launcher yake na Itabadilisha Muonekano wa Display (Sehemu ya Wallpaper).
๐๐ฟ. Hakikisha Umewasha Location (Turn On Location).
๐๐ฟ. Andaa Daftari na Pen au kama Una Simu ya Ziada Basi Fungua Notebook.
Umewahi kuona mistari ya rangi chini ya tube ya dawa ya meno, lotion au krimu yoyote?
Wengine hudhani ni mapambo tu au design ya kiwanda.
Kumbe sio!
Ngoja nukusanue.
(Thread ๐งต๐๐พ)
Kuna madai yamesambaa sana mtandaoni kwamba:
Mstari wa kijani = organic
Mstari wa bluu = dawa ya meno na dawa ya hospitali
Mstari wa mwekundu = kemikali nyingi
Mstari mweusi = full kemikali, hatari
Lakini... Je, haya ni kweli?
Jawabu ni HAPANA.
Ni uongo wa mtandaoni. Lakini mistari hii bado ina maana halisi.
MADHARA YA ZINAA KATIKA MAFANIKIO YA MTU
Niliahidi kuja na uzi kutoa ufafanuzi juu ya zinaa - jinsi ambavyo watu wengi wamekwamishwa kufikia ndoto zao kwa mtego wa zinaa. Ninawashukuru wale walioniombea na kunitia moyo. Pia ninawashukuru na wale walionizodoa na maneno ya kuudhi.