Jana nilifanya ziara katika Halmashauri ya Mji Tunduma na kutembelea Hospitali ya Mji Tunduma ili kujionea namna ya utoaji huduma ya madaktari bigwa wabobezi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao wametawanywa kutoa huduma za kibingwa na bobezi katika Halmashauri tano za mkoa huu
Mkuu wa Mkoa wa Songwe @chongolo_daniel akieleza changamoto zinazokabili mkoa huo kwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa ili Viongozi wa Dini wa kusaidia kutoa elimu kwa waumini wa kanisa hilo.
Leo nimeongoza Wananchi wa Wilaya Mbozi mkoani Songwe kupanda miti katika msitu wa asili wa Ilembo ikiwa ni sehemu ya shughuli za kusherehesha miaka 60 ya Muungano wetu. Hakika Songwe ni salama karibuni.
Msisitizo huu wa RPC Senga unathibitisha namna Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe walivyojipanga katika kipindi chote cha Sikukuku za Pasaka.
Ombi letu kwa Wananchi tiini sheria na muwe na sherehe njema.