Emmanuel is an experienced development economist, strategic analyst/planner, program/project management & results-based management specialist, and Data Analyst.
๐ถ CV: a 120-class Dog Breed Classifier using ResNet50 transfer learning
~82% train acc
~80% test acc
Strong augmentations + LR scheduling
A real-time Dog Breed Identifier app.
More of my work: https://t.co/uZ2U6Jyorb
#AI#ML#DL#PyTorch#CV
Thank you @saheedniyi_02 for writing this helpful article.
How to Build Machine Learning Models with Reliable Validation Scores
https://t.co/Z1CVyFdY1Y
@Nnauye_Nape Hapo awali, Tanzania miaka mitatu iliyopita internet ilikuwa bei nafuu ukanda wa Afrika Mashariki. Lakini sijui kikatokea nini. Lipeni suala hili kipaumbele cha juu kabisa kama lengo ni Taifa hili kujiendeleza kiteknolojia kwa kasi ya kutosha.
@Nnauye_Nape Bahati mbaya sana watunga sera sijui mnalitazama hili kwa namna gani. Masomo mengi katika mapinduzi ya kiteknolojia yanapatikana online na internet ndiyo kila kitu kuwezesha hili. TZ gharama ya 1GB ni wastani wa TZS 2,049 na huko Malawi ni TZS 562, wapi watasoma kwa wingi?
@Nnauye_Nape Vipo vyuo huko nje ya nchi (hasa India) vijana wetu wanaweza jiunga kusoma masomo ya IT kwa gharama ndogo kabisa lakini kitu wezeshi kufanikisha hilo ni internet pekee? Internet inatakiwa iwe bei nafuu sana kufanikisha hili.
@TCRA_Tz Vizuri. Lakini kwa nini tusiwe wa kwanza miongoni mwa nchi za Afrika? Nini kinafanya Sudan watoze chini kuliko sisi? Pengine mnapotoa taarifa, ni vyema kufafanua!