@airtel_tanzania Habari nimeweka vocha kwa mara ya kwanza baada ya kusajili line nimepewa ofa ya siku 30 lakin kila nikipiga naambiwa sina salio wala sms sina,mmenipa ofa hewa???
@VodacomTanzania 0754465162 mteja mwenye namba hii jana alinitumia hela ila mpaka sasa hivi hela haijafika
Elfu 39 kuja kwenye namba yangu 0764645250, naomba iingie kwangu jamani tangu jana kweli