@GellarJr@francismtey As per vitabu vya dini ni kama Kila kitu kimeshaandikwa kinatokea sababu tayari kipo kimepangwa, destiny yako ishaandaliwa. So what are you praying for? Ubadili kinachotokea au?
So maisha yanaongozwa na nature, na nature haina huruma na mtu inafanya vile imepaswa kufanyika