@Chrisdomtz1 Wonder Kid hongera sana๐ฆ๐ช๐ชโค umeonesha ubora na ukubwa wakoo, SIMBA NGUVU MOJA MUNGU AKULINDE DAIMAAโ๏ธ๐ฆ๐ฆโคโค๐ฅฐ๐ช๐ช๐ค
@MiriamMkanaka Tatizo hamjuii wanafunzii walivyoo mtuulize sisi walimu kwanzaa, just imagine unafundisha wanafunzi darasani wapo 84 halafu unatoa exercise wanakusanya wanafunzi 24 kati ya 84 hasa kama wewe ni mwalimu utawafanyaje hao wanafunzii!??๐คจ๐ค๐๐๐๐ค๐ค๐คโ
@MarcoMzumbe Wanasimba wenzangu ugopa matapelii, just remind kwa watani wetuu, but mtani walimsajilii ila hapaa ni utapeli wa uso kwa machooโ๏ธ kuna mtu anatumia mgongo wa manzoki kutafuta kura,๐ค๐ณ๐ค ๐ค๐ค๐ง๐ค๐๐๐