📚✍️Tulipotamka ndoto zetu, waliziona kama kisu. Laana zilining’inia hewani kama mawingu meusi yaliyojifunza kutamka majina yetu.
Tukagundua, wakati mwingine wakubwa hutuona waasi wakati sisi ni vioo. #FimboZaShingo
Siri 1 ya kuwa mtu hatari zaidi ktk kitu unachofanya ni kuwa na spirit ya "sina cha kupoteza". Na kuwa na spirit ya "sina cha kupoteza" ni pale unapokubaliana na fact kwamba hakuna kitu chochote hapa duniani ni mali yako. Umekuja uchi na utaondoka uchi.
Happy new week
@Stany_Midea27@MunishiRenald 😂 Cheap take my guy! 🧠Jibu Hoja kwa Hoja!
😂 Afu Kilichoniuma ni Kuona Yesu alikufa msalabani ila Mfarisayo bado upo! na ndo kwanza unajipendekeza kwake na Hautendi alichokwambia!
Unadhani Yesu Haumii unavomnafikia kama mimi?😂🫵
@Stany_Midea27@MunishiRenald 😂🫵 It's you who think we are different ndo hutaki opinions za wengine, eti "Sisi TulioReal" as if others are fake.
😂 You remind me of the hypocritical Pharisees that Jesus had to deal with!
@Gplanet5 Haha, team TUNATOKA sio Chama Cha Siasa bali ndo hiyo Jamii inayotaka Mabadiliko baada ya uvumilivu wa muda mrefu!
Team TUNATIKI ndo hiyo logo unayosema haitakiwi😎🫵
#Kamjadala
@JozenGamba@musa_pyuza 😎 Exodus 20:13 - You shall not Kill
Watch your Mouth coz coz you may have won the material poverty but still a slave to mindset poverty 🫵
@SChinganga25062@lucasmassawe_ 😂 Adam alivofukuzwa Kazi kwenye bustani ya Eden, Mungu alimpokonya Uhai (Maisha) wake pia?
😂 Mfano Leo Vegetables wakikufukuza Kazi wewe, Maisha yako nayo ndo yataishia hapo? Ulizaliwa na Kazi?😂🫵
✍️ WATENGWA
Mwaka huu nilifanya kazi shule ya muziki Masaki, nilishangaa kuona kila mtoto akija na mzazi kwenye mazoezi kitu ambacho ni tofauti kwa waTz wengi
Nikagundua Tunathamini zaidi Sherehe kuliko Michakato ya Ukuaji wa watoto wetu, hasa kwenye vipaji vyao💔🧠
✍️ MIACHO
Hatuachani coz Tunachukiana/Tunakosana. Tunafanya hivyo coz ni sheria ya asili, Kwani huoni:
- Mvua ikiachana na Anga?
- Mchana ukiachana na Jua?
- Mazao yakiachana na Mimea yake?
- Chakula kikiachana na kinywa, tumbo na baadae kinyesi?
🧠 Tukichoka Kuumia, Tutakua!
@IhondeAJ 😂 We are all slaves at some point, and it's okay but we just have to be Conscious/Strict Enough with our minds
Coz the Parents you call "Strict" were playing a loosing game and never saw it & now we have a Toxic Society