Kitu cha AJABU kuhusu AI ,ni bidhaa ambayo demand yake haitokani na Wateja ( watumiaji) ila Watengenezaji.Hakuna mtu anapenda Contents za AI kuliko za binadamu ,ni Creators ndio wanapenda kutengeneza content za Ai.Biashara ya aina hii,hapa mambo ni hayaโ๐พ...#Kamjadala
Kama UMEOA/KUOLEWA na unataka kudumu na uliyenaye, Jaribu hii mbinu. Kama mna uwezo,kila mtu awe na chumba chake alafu mfanye ni normal. Wengi wanachokana/kuachana kwasababu mmoja wao (au wote) kuhisi amepoteza sense ya space!
#Kamjadala
Kila toleo ni kama EPO wanawaonaga watumiaji wa AiFoni ni 'Madako' yao!๐ Android nafurahi kuwa wako, hata usiponipa mtoto ntafurahi kuwa anko..
#Kamjadala
Aah basi wenzanguu,huo si ujabali, hayo ni maruperupe eeeh! - Fatma 'Mcharuko' Mahmoud (JMT)
Nisaidieni SAB-TAITO ya "Maruperupe" ni Nini? ๐๐คฃ
#WetalkMusic
Kama lengo la hii kampeni ya kuwarudisha wabongo waliopo SA lilikuwa kuwaonesha Watanzania kwamba hakuna MAISHA bora Bondeni kuliko hapa, basi imefanikiwa 100000%
#Kamjadala
MAMBO 3 ya Bongofleva Ngumu KUAMINI๐๐พ
1.Kamanda wa Daz Nundaz sio wimbo kwaajili ya mtu aliyefiwa , ni wimbo wa mtu anayekufa yeye!๐
2.Nakupenda tu - Dudubaya na Kikongwe - Pico sio nyimbo za Mapenzi, ni bullying.
3.Fid Q ni mtoto wa Mama ๐ฅณ
#WetalkMusic
Tumefika kwangu mtoto kapagawa, Nje zimejipanga gari utadhani chawa. Kaanza kuchachawa "Hii ya nani?" Mark II ya house girl , Discover ya house boy, Pajero ,Benzi za wadogo zangu tangu enzi zileee wanaendea shule - #MheTemba
Kwanini blaza AMANI hakuchunguzwa?๐คฃ๐ #WetalkMusic
Wengi tunadhani unahitaji KUJIAMINI (confidence) ili ufanye kitu. Saikolojia na wenye UZOEFU wanasema KIJIAMINI ni Hali inakuja BAADA ya kufanya sio kabla. So usijiamini ili ufanye, Fanya ili ujiamini. #Kamjadala
Naonaga wenye shepuu,Mojaโ moja wakidondosha.Ila siwatamani,
Mie we unantosha - #Marioo
Kama huyu mwanamke alimuamini TotoBad Kuna kitu kimoja atakuwa Hana, Shepu au Akili๐๐คฃ #WetalkMusic
Hivi Kenya Wana Taarifa kwamba CBO ni raia rasmi wa Tanzania? Tulikuwa tunapata tabu sana nani wa kumkaba BIEN kwa uhakika jukwaani! Timu yangu Simba ina mengi ya kujifunza kwa Migration ya Tz kwa usajili huu!โ๐พ๐#WetalkMusic
Socrates aliamini Demokrasia ni HATARI sabab inampa kila mtu UMUHIMU sawa, wakati thamani ya uelewa wetu hailingani.Wenye UELEWA mkubwa hufanya maamuzi sahihi zaidi ya mwenye uelewa mdogo. Democracy inajali unavyojisikia kuliko unachoelewa! Aliuawa kwa kupigiwa kura๐
#Kamjadala
Umloge mtoto wa Ruge kisa ameangua Makungu.Majani (Pfunk) kasema adhabu hakuna zaidi ya marungu. Na tukiona tumeshindwa tu tunamuachia MUNGU - #Jumanature
Swali:Ni Mtoto yupi wa Ruge (RIP) alirogwa na Mzee wa Busara ?๐๐คฃ๐คฃ #WetalkMusic
TUME YA KIJINAI imeundwa kuchunguza kwanza Matukio yote 2 ya SHAMBULIO LA RISASI yalitokea IRINGA au ARUSHA? Why? Ni muhimu kujua lokeshen kwasababu itatupa picha ya hatma na mwendendo wa Kesi! Mf.Kama yalitokea Arusha (Kwa wazazi wa Ritha) huenda likawa tukio la KUJIHAMI na SHAMBULIO ,yaani mtajwa alikutwa ndani ya Fensi ya Familia ya BABA na MAMA Ritha , kwenye Mazingira ya kutatanisha! Kama ni IRINGA, sasa hapa tunaweza kuona PengineLABDA kulikuwa na DHAMIRA YA UHALIFU WA SILAHA YA MOTO! TUME ya KIJINAI pia itataka kujua Mwamba alikoswaje mara 2 na Risasi? Ni Mganga wake sio Tapeli au anayelenga Hana shabaha Amefanya makosa?๐
Kabla hata hatujaskia kutoka kwa @marlaw__ tayari fikra zetu zilishaenda kwa jamii Moja ya watu wa ASIA! Kwanini hatukuwaza labda RITHA ni MWARABU au MCHINA? au MMONGOLIA? Au MUAJEMI wa IRAN ?๐Rai yangu kwa WACHAMBUZI na wananchi wa kawaida ni tusipende kujiamulia mambo!Tusubiri UCHUNGUZI MPYA wa tume ya KIJINAI.Kama una ushahidi wowote wasilisha kwa TUME kupitia comments!This is how #wetalkMusic.
Hapa mwanetu @Gplanet5 kachambua vizuri sana ijapokuwa bado kuna maswali Marlaw anapaswa kujubu..
Swali la msingi ni kwamba Kipi kilimuua Ritha?
Yaani TANESCO jamani! Umeme umekata kwangu tu kwa Majirani upo na luku haijaisha. Kwa Stress nikaingia Insta nikachukua namba zao, kupiga wakapokea ,Nimejieleza bila hata kuniuliza namba ya mita ,akanitajia namba flani za kuingiza ,KituNaBox Umeme umerudi! Maua yao ๐ซก ๐๐
MAMBO 5 NILIYOONGEA NA ENJINIA VICTOR.
1.Biashara uijue kwanza au Uifanye kwanza?
2. "The power of subconscious mind.
3.Bidhaa na biashara za China.
4.Uhalisia wa Ajira na Kujiajiri.
5.Kuzikabili Stress baada ya Chuo.
Try @Madinidotcom https://t.co/bgL0FAqSHj
Huota bila Mpangilio, Mapenzi majani.
Na kama Kuna makadirio, ni uzito wa Tani - #Mbosso.
LAITI KAMA Ningekuwa Mwalimu wa lugha ningetoa hili shairi la Kurungi section C ,Mwishoni naandika JADILI (65Marks)๐๐ค #WetalkMusic
AI NA MAPENZI.
Tuendako MAISHA yatakuwa fasta kiasi kwamba WANAUME 'VodsFasta' wa JamboLile, wataonekana walikuwa mbele ya muda!๐ค๐Dunia itapo 'rialaiz' UPUNGUFU WA NHUVU ZA KIUME sio tatizo la kibaolojia, Ni la 'mindset' ya kijamii kuhusu sex iweje #Kamjadala