Never break the heart of a man who truly loved you ,his pain can awaken a side you’ve never seen. Love isn’t a game with clear wins or losses. When we give years, we hope to grow together, not end alone. Betrayal doesn’t just hurt ,it changes people, and not always in kind ways.
If it was easy everybody would do it, if it didn’t require discipline and sacrifice everybody would do it so stop questioning why your path has been so difficult.
Winners must be few, and challenges separate winners from losers.
//keep going✌️
Hakuna ulazima wa mimi kukuaminisha kubaki upande wangu, ukiona sifai nenda panapokufaa.
Its just simple coz sipendi stress
Kukupotezea na nikusahau ni jambo la sekunde tu.
Hamna atakaekuwa impressed, watu washaona vyote, angalia usije pata UKIMWI kisa ku force maisha kutaka kuonesha watu wewe ni level za juu wakati huna kazi😁
Wote wanajua hela zako mpaka unanii ndo upate hela so chill✌️
Unajipatia zako ka Wi-Fi router safii, ghafla watu kama kumi ivi wana connect kwenye ka router kako tena ukute hakana hata password😁
Hio ndo sababu network connection inakua slow, mwisho wa siku unaamua uendelee kuunga bando tu instead of fighting with people connected.
Huwezi wajua watu sahihi kama hujakutana na kuona watu ambao sio sahihi.
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako chukulia in a positive way kwamba ni daraja kufikia sehemu sahihi,kuna watu watakuona hufai ila kuna watakaoona unafaa na hao ndo watakaokuweka sehemu ya kuheshimika
And most of you mkiwa spoiled kupelekwa 5star hotels mkapiga picha zikang’aa mnawaona wengine cheap.
You cant even handle those bills yourself, be humble!!
Some people don’t see how much you do for them, you will never satisfy an ungrateful person.
Leave and focus on your future,let them be where they need to be🤝
Ukiwa mkubwa utajifunza kupotezea vitu.
ku force issues napo inakupotezea time ya kufanya mambo mengine productive🤝
Learn when to leave📌
Learn when to stay📌
Go solo,its better that way🤚🏽
The day you left me my heart beat stopped for a second, in my mind now all i can say is :-
You were the one I couldn't lose
Losing you felt like i lost my faith
Praying to God for a soul to take
How could an angel make me feel pain?
Breaking my feet so my heart don't chase.