@kamauwaruhiu Baas unaona vile mzee inakaa simbaaa....yaani unaamka unaosha uso vizuri kama coconut alafu you seat and call at job .....unawarequest wakusamehee hauwezi kufika juu weather ni mbayaa na ndevu hazijakaukaa
Mtu anakuwa nice to you, ukitoka kazi unapata kama amekuchemshia maji ya kuoga already na akapika some yummy food wewe unaiingia tuu unakula alafu "UNAKULA". Alafu unaamua kumwonyesha vacancy ya job fulani anaamua kuapply inakuwa successful alafu anaanza kukuonyesha madharau nkt