@mpambazi tatizoo ulianzaa kuwanangaa watuu na watuu ndoo sisii polee nduguuu munguu atakubarikii na utakaa sawaa ila unaloo la kujifunzaa piaa bado safarii ni ndefuu
DCI Mstaafu, Robert Boaz ni kati ya mashahidi waliotajwa kwenye commital, huyu ndiye mlalamikaji, ndiye aliyepewa taarifa na Lt. Denis Urio. Jamhuri wamefunga ushahidi kwa shahidi wa 13(24) bila Boazi kutoa ushahidi. Mashahidi wote 13 ni ushahidi wa โniliambiwaโ. Kesi ya michongo
Jaji Tiganga J, anasema karani kaandika maelezo kurasa 1,500 na atatoa uamuzi wa mahakama baada ya siku 2 (ijumaa) kama Freeman Mbowe na wenzake wanayo kesi ya kujibu (waanze kujitetea) au awatemee. Swali langu, siku 2 zinamtosha au ushahidi wa mchongo ni batili tayari? Tusubiri!