Wakuu @VodacomTanzania kila siku mnanitumia meseji kuwa naruhusiwa kukopa songesha kiwango fulani lakini kila nikiangalia kiwango cha matumizi ni 00 sasa sitaki usumbufu wa hizo meseji zenu.....
Hey wakuu @VodacomTanzania kama huduma za kutuma pesa kwenda mitandao mingine imewashinda bora mtuweke wazi kuliko hizi kero tunazopitia wateja wenu....MNAKERA SANA MNAKERA SANA MNAKERA SANA NIMEWACHOKA
wakuu @VodacomTanzania nashindwa kujiunga na huduma za m pawa kila siku mnasema ombi limeshindikana nini tatizo wakati laini nipo nayo kwa miaka 3 sasa
Leo kitu tunafanya ni kufollow wote walioweka hendo na kuretweet ,ni kubariki kila akaunti ili kila mmoja aone ufalme wa twitter.
Yulee ndio kirikuu anaongoza maombi😂
Watu 100 wa mwanzo tuanze nao chap chap.