IJUE TEKNOLOJIA MPYA YA KUTUMIA LAINI MBILI KWENYE SIMU YA LAINI MOJA BILA KUIWEKA KADI HIYO KWENYE SIMU..π₯π±π³
Uzii mfupi sana....π§΅ππΏ
eSIM ni nini?
eSIM (Embedded SIM) ni aina ya SIM kadi iliyojengwa moja kwa moja ndani ya kifaa (kama vile simu, tablet, au smartwatch), badala ya kuwa kadi ya plastiki inayoingizwa na kutoka kwenye simu.
eSIM inafanya kazi kama SIM ya kawaida lakini inaweza kusanidiwa kwa njia ya dijitali bila kuhitaji kubadilisha kadi.
Endelea....π€
FollowππΏ @mchache_tz
πππ π π π‘πππ ππ‘π: π§΅
πππ¦π π§ππ ππ¨ππ‘π πππ§π ππ₯πππ ππ¦π’π‘ π¦ππ¬π’ π₯ππππ¦π
1βΎ" Inawezekanaje Kijana wa kimasikini Mwenye asili ya AFRICA toka kota za Marcy akawa na Mafanikio makubwa kiasi hiki π
Majiπ¦ -> Kwa Ajili ya Figo!
Mayai π₯-> Kwa Ajili ya Ubongo π§ !
Carrotsπ₯ -> Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi π-> Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage π₯¬ -> Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango π₯ -> Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya π₯ -> Kwa Ajili ya Afya ya Moyo π«!
Mazoezi exerciseποΈ -> Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani π₯¦π« -> Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha π -> Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost π -> Kwa Ajili ya Wengine!
π¨ Miezi iliyopita niliwapa taarifa kuwa kwa sasa Whatsapp wameruhusu kutumia account zaidi ya moja kwenye Whatsapp.
Watu walikuwa wananiuliza
Unawezaje?
Leo nitakufundisha namna ya Ku-add, number nyingine ya Whatsapp kwenye simu yako Easy sana!!