“Pamoja na kuwa uchaguzi ulifanyika, kulijitokeza vurugu za uvunjifu wa amani ambao ulisababisha uharibifu wa mali, kupoteza maisha na kuhatarisha usalama wa Nchi, tunapoenda mbele niwasihi sana Watanzania tuongozwe na dhamira ya maelewano, ushirikishwaji, kujirekebisha na umoja”
“Kwa Wanangu Vijana wa Taifa hili la Tanzania niseme kwamba nchi hii imejengwa kwenye misingi ya amani na utulivu wakisiasa, sisi Wazazi wenu kama tungeyafanya mliyoyafanya wakati huu Nchi hii isingekuwa na neema na maendeleo mnayoyaona leo”
“Narudia hilo, kwa Wanangu Vijana wa Tanzania, sisi Wazazi wenu kama tungeyafanya mliyoyafanya nchi hii isingekuwa na neema na maendeleo mnayoyaona leo, hivyo niwasihi sana Wanangu Vijana wa Taifa hili, nchi hii ni yenu kwa shida zozote zile zinazowakabili, msikubali hata siku moja kushawishishiwa kuichoma nchi yenu wenyewe”
“Msikubali kukata tawi la nchi mliyoikalia msikubali kabisa, hili nawaomba mlikate kwa nguvu zenu zote , nyie ndio Wajenzi wa Taifa hili nawasihi kamwe msiwe Wabomoaji wa Taifa hili” —— Rais Samia akihutubia Bunge leo November 14,2025. #MillardAyoUPDATES
Pongezi za dhati kwako Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge), kwa dhamana uliyopewa na Taifa letu kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Umekabidhiwa jukumu kubwa na muhimu la kuiongoza Serikali, kusimamia utekelezaji wa ahadi zetu kwa wananchi na kuimarisha ustawi wa Taifa letu. Tunakuahidi ushirikiano katika utekelezaji wa kazi hii.
Mwenyezi Mungu akusimamie, akuongoze na kukufanikisha kwa ajili ya Taifa letu na Watanzania wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA
✍️ Reply handle yako hapa
✍️ Like handle zilizowekwa na watu
✍️ Mtu aki like handle yako mfollow
✍️ Mtu akikufollow follow back
Kwa pamoja tutafika 10K, 👇
Wabongo hawajaliona ilo,,wanachoona ni kuipoteza TU wananchi tutaendelea ila Kwa MUDA mrefu Sana mbaka watu wote waamke waone madhaifu Yao na wayakubali
Wamepiga mafataki, wamefanya kila aina ya fujo, mechi imesimamishwa mara tatu, refa katoa dakika 6 tu na Rais wa CAF alikuwa uwanjani. Hii ndio AFRIKA. Na hii ndio YANGA AFRIKA, USMA wameshinda kwa kanuni, tumeheshimisha taifa. Timu bora imeshinda mechi.
YANGA KLABU YA TAIFA
“Kuna mrundikano wa kodi nyingi katika bidhaa moja, hii sio sawa, serikali yenye nia ya kujenga Taifa haiwezi kufanya hivyo” — @CatherineRuge#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi VIDEO : https://t.co/QGThfSVRZh