@GodfreyMaz27960 @Kirikuu20@Mkunga_Og Mr Health hapa ๐ Anaelimisha jamii, Hausiki na uuzaji wa dawa za nguvu za kiume. zaidi ameandika eBOOK ambayo hata mimi nimeinunua ni zuri na inaelimisha. wewe kakutapeli nini? swala la kuchapwa block nikawaida kutokana wewe ulivyo mwiingilia mtu acha chuki ishi maisha yako ๐ฎ

@Bichwa_19@Mkunga_Og Hapa ndhani nikutumia akili ya kawaida kwani kuna watu wanaishi na Kisukari pasipo kujua ukipima HBA1C Utagundua mapema kama upo kwenye risk ya kupata kisukari.
BREAKING NEWS:๐จ
Creator kuna habari mpya kuhusu. Maokoto ya elon!
X wametangaza kuwa rasmi sasa hawatolipa kutokana na matangazo ya kwenye Replies
Malipo yanaongezeka, na sasa utalipwa kulingana na mwingiliano na maudhui yako kutoka kwa watumiaji wa Premium - sio matangazo kwenye replies
Haya ndio mabadiliko
Matangazo kwenye majibu hayataathiri tena malipo yako.
Utalipwa kulingana na jinsi watumiaji wa Premium wanavyoengage na maudhui yako.
Followers wako wanapojiunga na X Premium na ku-engage na maudhui yako, wanakupa sapoti moja kwa moja.
Kwa kuwa X Premium inakua haraka, malipo yako yanaongezeka kadri idadi ya usajili wa Premium inavyoongezeka.
Lipwa zaidi kutoka kwa X Premium sasa!