Mark Douglas alinifungulia dunia upande wa Trading Psychology...
Mfano upande wa Market Uncertainties(random distribution of results)
Trader A. W-W-W-W-L-L-W-L-L-L
Trader B. L-L-L-W-L-L-W-W-W-W
Different traders, same WR, same results but different order!
GAMERS... GAMERS..🙌🏼✅
Kama unatafuta console yenye nguvu, speed kali na graphics za kiwango cha dunia, basi PS5 Slim ndiyo chaguo sahihi kabisa kwa mwaka huu. Hii si gaming console ya kawaida — ni experience nyingine kabisa.
🎮 Kwa nini watu wengi wanachagua PS5 Slim?
✅ Muonekano mpya wa kisasa
PS5 Slim imekuja na design ndogo, smart na modern zaidi kuliko PS5 ya mwanzo. Inaonekana premium sana ukiiweka sebuleni, room au gaming setup yako.
⚡ Speed ya hatari
Ina 1TB SSD yenye kasi kubwa sana. Games zinafunguka ndani ya sekunde chache tu. Hakuna kusubiri loading ndefu kama consoles za zamani.
🔥 Graphics za kiwango cha juu
Cheza games kwenye 4K quality na hadi 120FPS kwa mwendo laini sana. Ukiwa unaicheza utaona tofauti kubwa ya picture quality, movement na realism.
🎧 Experience halisi ya mchezo
DualSense controller yake ina vibration na adaptive triggers zinazokufanya uhisi kabisa kama uko ndani ya game. Ukikimbia, kupiga risasi au kuendesha gari — unahisi tofauti mikononi.
🎮 Inacheza games kali zote mpya
FC 26 ⚽
Call of Duty 🔫
Spider-Man 🕷️
GTA V 🚗
Mortal Kombat 🥊
na nyingine nyingi za kizazi kipya.
CONSOLE BORA KWA:
✔️ Burudani ya familia
✔️ Wapenzi wa football games
✔️ Gamers wa serious
✔️ Content creators
✔️ Zawadi ya kiwango cha juu
Ukishaanza kutumia PS5 Slim utajua tofauti ya “gaming” na REAL NEXT-GEN GAMING.
BEI ZA KIZAWA✅
Nipo Mwanza Mjini
Nicheki DM / +255747151944
Hello Twitter Family, Asalam Aleykum😊Alhamdulillah Tumekuwa NOMINATED! Asante kwa vote zenu za awali…Naomba dakika zako chache tu ubonyeze link 👇unipe VOTE yako https://t.co/oiD1aa72MA
Nomination category: MAKEUP ARTIST MBOBEVU
Nomination name: MINAHS BEAUTY STUDIO
Bi-idhnillah, kwa Kura zenu nitakuwa part of watakaopokea hizi awards 4th July, 2026 ❤️🥰🤲🏽Ahsante sana #glammedbyqueeenminah
FOR THE LOVE, FOR THE STREETS.🫡
Sportbet🇹🇿:
5TMDLP -Odds 80💰 (The most trusted code)
Extra ticket:
5SEGE7 -Odds 100🔥 (Collaboration)
Edited from X punters;
5YDFBC -Odds 360🔥
For more than 3 months, I stayed focused on Backtesting the MSM strategy because I wanted to truly understand it and master it.
Nowadays, some of you finish training today and tomorrow you already want to trade a live account.
So you’re telling me you can fully understand a new concept without Backtesting it first?
But anyway, if you’re good at it, then that’s good.
I was just reminding you by referring to my own progress and the time I invested in understanding the strategy before going live.
SAFARI NI NDEFU hints ndogo ndogo kama hizi zitasaidia tunakoelekea insha Allah.
I have been where you are right now.
• Where out of 10 trades, only 2 succeed while 8 fail.
•Where I close trades too early before they even reach my target.
•Where I analyze the market perfectly, yet fear stops me from entering a trade.
•Where I blow my trading account trying to revenge a loss.
•Where I pray for my trade to return to my entry point just so I can close at break-even.
I have been through the fear, the frustration, the impatience, and the emotional pain that trading can bring.
But one thing I learned is this:
Consistency is not built in comfort.
It is built in discipline, patience, and experience.
KILA HATUA DUA insha Allah🙏🏾.
Kama umestrugle for years hauna matokeo, na unajijua una kichwa kizuri na hauna Ego, uko tayari kusimamiwa kujengwa na kumezeshwa maarifa sahihi, link ya group la booking hiyo hapo kwenye Quoted tweet.
Tutakulea for a Year (utapigwa shule ya Technical na Usimamizi), Ikiwa bado hutaona Matokeo brother tafuta chimbo lingine upoe nalo, Trading kwako ishakuwa issue😂😂😂 .
Leo ni mwisho wa kutangaza huku, so from tomorrow nitaanza kutoa taarifa za Msingi kwenye group la Booking!
Nimemaliza!
Kama uwezo wako ni usd 1000
Umesha deposit
Ni either ui risk yote
Au uwe una toa faida unazo pata
Maswala ya kukuza account endelea kujidanganaya unakuza account
Account aikuzwi
Forex ni sehemu ya kupata mtaji kwenda kufanya ishue nyingine
NYUMBA INAUZWA
Vyumba vi 3 (2 master)
Public toilet
Sebule kubwa
Dinning
Study room
Jiko & store
Location:- Kerege , 500M kutoka Bagamoyo road (karibu sana na barabara)
Eneo :- 600SQM
Finishing ndani ✅
Price:- 70M (negotiable)
Agency fee 5%
Piga simu/WhatsApp:- 0776964607
Strong move = low probability of price retracement to occur,
Weak move(correction move) = high probability of price retracement to occure.
The more price makes correction move in the market, the higher the probability that price may turn the direction.
Liquidation✅
Though wapo waliofikiria kuwa nmetangaza class ya forex kwa sababu nna njaa ya pesa ya kujikimu maisha yangu na wengine kunadi kuwa ni utapeli.
Ila kuna idadi kubwa ya waliohtaji na wamekosa nafasi , Wapo walionipgia simu, walionitext whatssap and even normal text ili wapate nafasi ila still wamekosa.
Forex inaweza kuwa ni kwel UTAPELI ila mi siwezi mtapeli mtu.🫵🏾
@liquidatorXz Binafsi nina huruma sana, ila sipendi dharau.
Nmeona kijana ambae akiwapa time yake hapa X kwny space kwa ajili ya Forex mpk account yake wame-ikula..💔
Vijana ndo wachawi wa siku hizi sio wazee tena.
#offeredclass | Nafasi 3 kwa ambae ataweza kulipia gharama zake karibu ajifunze.
Andaa 150,000Tsh | Nitext whatssap | 0624708572.
Next week on Monday class itaanza 27th April.