RISK MANAGEMENT ROADMAP!
KEY BASICS!
4yrs consistent Trading Forex! I dare to say..
Trading Without Risk Management is Completely like Gambling
Thread🧵
Ukisoma comments humu ndio utajua 90% ya wabongo hatuna elimu sahihi ya stocks!
Ni kweli kuna aina tofauti ya hisa lakini inategemea na kampuni yenyewe
Mostly hapa bongo hio haipo kampuni nyingi wana hisa za aina moja tu "Common Stocks" nyingine wana aina 2
Wewe ukinunua hisa
Na wenzio MATAJIRI wakinunua hisa
Hawanunuagi hisa hizohizo😂..
Hisa zina classes na benefits tofauti..
FUATILIENI GUYS😭..
Hakuna mtu mwenye 1B ana shida na gawio la 50 tshs per stock😂😂
@The_PR0F3S0R Ukisoma comments humu ndio utajua 90% ya wabongo hatuna elimu sahihi ya stocks!
Ni kweli kuna aina tofauti ya hisa lakini inategemea na kampuni yenyewe
Mostly hapa bongo hio haipo kampuni nyingi wana hisa za aina moja tu "Common Stocks" nyingine wana aina 2
Magnetics anakwambia...
In trading "You'll never be comfortable, market kila siku itakukumbusha kua haujamaliza na unahitaji kuendelea kujifunza"
Mnasemaje hapa..?