Wakuu Nina swali hapa , Nina nyumba ipo Kagera mtaa wa Kashabo milimani pale , hivi nikiikarabati vizuri ikawa kama BNB natoboa kupata wateja ? Au niachane nayo niendelee kuchukua Kodi 20k per month๐ญ๐น
Wajuzi wa mambo mnipe Ushauri

UCL Top Scorer: Mbappe
UCL Top Assister: Vinicius
UCL Goal of the Season: Valverde
UCL Young Player of the Season: Arda Guler
Real Madrid didnโt even reach the semis. This club was just built for the Champions League ๐๐
@chapo255 Dogo muongo 2013/14/15 Fiesta na show nyingi alikua hakosi na kila Show alikua anaimba ngoma mbili Sophia na ile Nakuchana yupo na Jux...sijui lengo lake hapo ni nini ila amedanganya.
@chapo255 Dogo muongo 2013/14/15 Fiesta na show nyingi alikua hakosi na kila Show alikua anaimba ngoma mbili Sophia na ile Nakuchana yupo na Jux...sijui lengo lake hapo ni nini ila amedanganya.
Value ndio PESA, kama hauna Value au hata uwezi kuitoa value uwezi kuipata hiyo pesa.
Sasa tujiulize unajuaje Value yako?
Na ulijuaje una thamani hiyo kwenye soko, kama wachezaji kuna mtandao wanao wanaonyesha value
Vipi kuhusu sisi?
Ndugu zangu,tunapoangalia numbers za Okello,Chama,Gueye na Annicet Oura alafu tunaongezea neno pale mbele kwamba wamekuja dirisha dogo hapa wageni wanadhani wamekuta mzunguko wa pili wa ligi๐
Ila kiuhalisia dirisha dogo safari hii(yaani hawa wachezaji wote wameingia huku ikiwa kila timu imecheza mechi 5 mpaka 6 Tu)
Naomba kiwasilisha