We just relocated,
From Yombo 2 UDSM to Changanyikeni.
Every step, everywhere, we need to worship together and foster our Christian fellowship!
Karibu sana to our new place!
#ChuoKikuuSDA#Changanyikeni#KaribuSana#WeWelcomeYou
Karibuni kwenye ibada ya Maombi ya Alfajiri na Gideon Misango.
Jumatano, Machi 4, 2026 · 11:00 – 11:30 (Alfajiri), saa za Afrika Mashariki (Dar es Salaam).
Kiungo cha Google Meet: https://t.co/YdREvBK1xY
#ChuokikuuSDA
Karibuni kwenye ibada ya Maombi ya Alfajiri na Mch. Baraka Masalu.
Jumatano, Februari 18, 2026 · 11:00 – 11:30 (Alfajiri), Masaa ya Afrika Mashariki (Dar es Salaam).
Kiungo cha Google Meet: https://t.co/YdREvBKznw
#ChuoKikuuSDA
Wanadamu tumeumbwa na kupewa utashi zaidi ya viumbe wengine wote. Katika jamii ya wanadamu hakuna aliye bora zaidi, sote tuna thamani sawa mbele za Bwana.
Leo chagua kufanya jambo moja la wema kwa makusudi.
#Day03#JumalaUwakili#ChuokikuuSDA
Karibuni kwenye ibada ya Maombi ya Alfajiri na Mzee Nelson Korigwa.
Jumatano, Februari 11, 2026 · 11:00 – 11:30 (Alfajiri), Masaa ya Afrika Mashariki (Dar es Salaam).
Kiungo cha Google Meet: https://t.co/JlR43NYhTm
#ChuoKikuuSDA
Je unafahamu hata uhai wako ni uwakili? Kristo alitufunulia tabia iliyo ya tofauti na Ile ya Shetani alipoutwaa ubinadamu na kuishi nasi.
Tulipewa na yeye kwa ajili yake na kila mzao wa Adamu atafahamu kuwa Mwumbaji wetu ni rafiki yetu daima.
#Day02#JumalaUwakili#ChuokikuuSDA
Kila mmoja anapaswa kuishi kulingana na uwezo wake wa kipato, huku akiwa na vipaumbele sahihi na mtazamo sahihi kuhusu mali
Bonyeza: https://t.co/1hS2iKYHg8 Ili kujifunza zaidi.
#backtobasics#alabasterthings
Tumeumbwa na Mungu, kwa ajili ya mpango uliosukwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
Hata mali zetu tumepewa na yeye Kwa ajili yake maana hata bahari hupokea maji kutoka katika vijito katika nchi ili kuyatoa maji hayo daima.
#Day01#JumalaUwakili#ChuoKikuuSDA
Be not dismayed or afraid for He is always with you, comforting, protecting, guiding and giving you the perfect rest you need.
Join us in praise and worship as we harmoniously raise our voices and prayers to Him, who always abides with us.
#ChuoKikuuSDA#FridayVespers
Join us this Sabbath as we learn more about religious liberty and how, with prayer and active engagement, we can do evangelism effectively for Jesus.
#ChuoKikuuSDA
Any success doesn't just happen. It's planned! We need you to plan your 2026 success.
This Thursday, from 1900 HRS evening, we will be learning more about the art and science of achievable personal goals.
When it's time, please click https://t.co/JlR43NYhTm to join.
A new chapter begins.
We officially unveil the Back to Basics identity.
And the journey continues…
SEASON 5 IS HERE.
Are you ready to stand apart?
#BackToBasics#Season5#Alabasterthings
Kudhibiti matumizi ya fedha ni muhimu kwa sababu huleta uhuru dhidi ya mambo Mengi.
Bonyeza: https://t.co/iOxHhO6Ro1 ili kujifunza zaidi.
#freedomredefined#backtobasics#alabasterthings
As every sincere prayer is heard in heaven when it comes from the heart, do our prayers ascend to the sanctuary where Jesus ministers for us?
Be with us via our link: https://t.co/JlR43NYPIU
as we explore the prayer of faith that touches His heart and connects us to Him.
Mtoto anapaswa kupatiwa nafasi ya kukua, wapatiwe kutenda mambo kwa wakati wao ili kuweka uwiano sawia wa kimaaadili.
Ili kujifunza, bonyeza: https://t.co/GbPvdpkEOf
#freedomredefined#backtobasics#alabasterthings
Join us this Sunday for the Women in Fellowship and Faith program, as we let God’s guidance inspire our steps and empower us to walk boldly into the purpose He has set for us.
You are warmly welcome!
#ChuoKikuuSDA
In a time of perplexities of life, asking such a question brings us closer to the reality of God's Character!
Join us this Sabbath at Changanyikeni to find the meaning of this question.
#chuokikuusda