Siku utakapoacha kuogopa kukosolewa, matusi, chuki za watu na kulazimisha kupendwa au kuheshimiwa, ndipo utaanza kuishi maisha yako bila kuhofia chochote #madolla4life
Gharama ya kukua maishani ni kupoteza baadhi ya watu. Lakini kila hatua unayopiga mbele, inakufundisha nani wa kubaki naye na nani wa kumuacha nyuma
#madolla4life
Nikiangalia followers wangu wote wa TikTok ,Instagram, Facebook, X pamoja na contacts wote wa simu yangu, halafu niamini hakuna hata mchawi mmoja?
Hapo napata ugumu kidogo kuamini! ๐๐
#madoolla4life