@trice_blessed 1: Inflation ( Specifically Hyper-Inflation)
How? Pesa ikiwingizwa nyingi kwenye mzunguko ukilinganisha na uzalishaji wa bidhaa na huduma, Automatically bei ya bidhaa na huduma zitaongezeka kwa kasi.
How? bcz, more money is chasing the same or a limited number of goods
DKT. NCHEMBA AIPONGEZA BENKI KUU KWA USIMAMIZI MAHIRI WA UCHUMI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia kwa ufanisi uchumi wa taifa na kuchochea ukuaji endelevu wa maendeleo.