Kaa mbali na rafiki mwenye imani za kishirikina ipo siku itahitajika amtoe kafara rafiki yake wa karibu ili aweze kufanikiwa, je una uhakika utapona ndugu marehemu๐
Kumekithir sikuiz mitandaon, mtu anataja jina la Allah au Muhammad au Asalam alaikum kisha anachanganya na maneno ya kikristo. Komeni, ninyi mna dini yenu nasisi tuna Dini yetu.
Siasa zisipelekee mkaikashifu dini ya Allaah nanyi waislam acheni kudhihak dini za watu si vizri
Dear @FIFAcom and @CAF_Media
Football should be fair, but Young Africans Clubโs actions are not right. The club donated 100 million shillings to the ruling party, causing political division and Death in Tanzania.
Please investigate Young Africans Sports Club in Tanzania.