Watu waliofanikiwa kwenye eneo lolote lile iwe kwenye biashara nk uwe na uhakika ukienda kuomba ushauri utapewa kakipande kadogo tu ka ushauri usiokamilika (incomplete story or advise) kukahikisha hata Kama utaenda kuufanyia kazi hutafanikiwa zaidi yao.๐
Whatever you didn't make last year might end up the same if you will choose to start over from scratch in this year may you obtain favor to begin it from experience now.
Ephesians 5:15-16 NIV
[15] Be very careful, then, how you liveโnot as unwise but as wise, [16] making the most of every opportunity, because the days are evil.
Nipo hapa kukuambia na kukuthibitishia kuwa kweli Mungu anajishughulisha sana na Mambo yetu ambayo tunahitaji msaada Kutoka kwake hata hivyo yapo baadhi ya Mambo ambayo Mungu mwenyewe anaweza kudai au kuachilia wito Fulani Kwetu ili aweze kuyashughulikia mahitaji yetu.
WITO WA MUNGU KWETU WAKATI ANA SHUGHULIKIA MAMBO YETU
1 Petro 5:7
huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Tuchanganye vyovyote vile uwezavyo tusijue mishe zako lakini mwisho wa siku jitahidi watu wakuelewe kuwe wewe ni Mtumishi au mtenda kazi pamoja na Mungu na sio tapeli ahsante ๐.
Siku hizi watu makanisani watajitahidi kutafuta kitu chochote na kupeleka kama sadaka ambacho saa nyingine hakiwiani na kiwango Cha Baraka aliyompa Mungu ili mradi tu aepukane na aibu/hofu ya kubaki amekaa wakati wengine wanatoa sadaka.
Nowadays in church people will just find and bring anything as offering even if is not proportion to the blessings that Lord has given them to avoid what they call the fear/shame of remain seated.