Wale mabinti walio pigana kwa sababu ya mwihaku hatujapata mrejesho wa jambo lao limeiahia wapi au mnaogopa kuliendeleza kwa kuwa mwijaku ni mru wenu mheshimiwa?
Tunahitaji kujua ni hatua gani zilifuata baada ya mahojiano kuisha na kama mkikaa kimya maana yake mnatufundisha kuwa hayo mambo ni kawaida na yataendelea na yakiendelea wala hakuna haja ya kureport kwenu kwa kuwa hamna kitu mnafanya.
Ninaomba majibu kwenye hili mh waziri.
A mother’s love is an extraordinary force — unwavering, boundless, and selfless. It’s the kind of love that holds you even when you don’t know you need it. And my love for my mother? It’s just as extraordinary — fierce, endless, and filled with gratitude #ceasefire
Rejea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto aishiye Mtaani, kitaifa mkoani Mtwara, 12 Aprili, 2025.
Ujumbe wangu muhimu👇:
Serikali za Mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye ofisi hizo waweze kushirikiana na familia au jamii husika kupata ufumbuzi wa pamoja kulingana na fursa zilipo serikalini na kwa wadau wanaoshirikiana na Serikali.
Watoto hukimbilia kuishi na kufanya kazi mitaani kutokana kukosa ufumbuzi dhidi ya changamoto zinazowakabili huku kukiwa hakuna aliyetoa taarifa serikali za mitaa kabla ya mtoto kutoroka nyumbani Ili wataalamu wa ustawi wa jamii waweze kusaidia.
Hivyo, ndugu Wananchi, changamoto zinazoathiri utulivu wa watoto nyumbani zipo ila, vema kutoa taarifa Ofisi za Serikali za Mitaa Ili, kuunganishwa na Huduma Ustawi wa Jamii badala ya kuacha tu mtoto aende kuishi na kufanya kazi mitaani.
Habari kamili tembelea @maendeleoyajami
We are making progress integrating nurturing care in healthcare delivery. This is big milestone and I am proud for health facilities that are already doing this
Just small thing but it has big impact in the development of the child
We are going to Primary health care facilities now @tuserod @ECSA_HC@paediatricstz@chw_foundation@furia_francis@Kenyapaeds
Imagine a world where every child's life matters! What if we told you that a groundbreaking movement is underway? Together, we can create a future where all stakeholders unite with child health specialists, collaborating to elevate the quality of care for every child. @paediatricstz Introducing our successful partnership with Hatch Technology and Anudha, aiming to revolutionize pediatric healthcare in Tanzania through innovative technology. Join us in this endeavor
#Childhealthandwelfare #Kipaumbelenimtoto
#DrTheopistajacob
@chw_foundation@furia_francis@EGPAF
@tuserod Nagongelea msumari wa moto hapo hapo; leave no child behind. Note that almost 49%of Tanzanian are age less than 19years. We need concrete and applicable programs to nurture them to reach their potentials in growth and development . Thank you for bringing the topic into surface,
Yaani kusherehekea #IWD2025 ni popote haijalishi ni Bank au barabarani. Tufanye kazi kwa bidii kukomboa Kizazi cha sasa na kijacho
Asanteni sana TANZANIA COMMERCIAL BANK kwa kutupa keki
Happy Women's Day
Here's a word from our president, Dr. Theopista Jacob @DrTheo5
"Walking in the light of those who came before us, and paving the way of those who will come after "
#WomensDay
We are learning here that Caregivers must provide nurturing care and every one else must support and create the enabling environment for a child to grow and develop normally according to age
No matter the circumstances the passion working for children is always keeping me back on the best side. Here at the Nurturing care for early childhood development meeting. Representing Tanzania
Join me in #Childhealthandwelfare