@DullahTheking2 Ukiwa upinde kama akina tyler the creator, ukiwa democratics na unachukia slogan za Trump, ukiwa mzungu, ukiwa unafanya pop music, ukijifanya black people activist kama kdot, ukiwa chini ya rocnation, hizo sifa zinaongeza nafasi ya kushinda hizo tuzo. Uko na too much obsession