The youngest person ever sentenced to Death was 14 years old George Stinney an african american who was accused of killing white girls aged 11 & 7. He was sentenced and killed with a 5380 volt shock in the electric chair. 70yrs later in 2014, George Stinney was proven innocent.
Sayansi rahisi: Protini na Vitamini ni vyakula vijenzi na vyenye nguvu za kukarabati mwili; ajabu iliyoje, wagonjwa wanapewa soda (sukari) na mikate (wanga) badala ya samaki, dagaa, nyama, matunda na mbogamboga kisha tunalaumu dawa hazifanyi kazi
#TibaAsiliNiMaisha
P Funk Majani ni miongoni mwa Maproducers wa Muziki wa mwanzo ambao waliamini kuwa wanawake wanaweza kuimba.
Sister P anakiri kuwa Majani alimuamini kuwa anaweza akampa nafasi.
#WanawakeWanaweza.
Shout out kwa @JabirSaleh na @EfmTanzania
Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa.
Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.
Wenye changamoto ya kupumua - fanyeni mazoezi kupumua kwa DIAPHRAGM - iko hapo tumbo ya juu chini ya mabavu
👉🏽Vuta pumzi kupitia pua kwa kusukuma nje tumbo ili hewa ijae
👉🏽 Kaa sekunde chache bila kutoa hewa
👉🏽 Sukuma nje hewa taratibu kupitia mdomo na rudisha tumbo ndani
Valentines ni kesho, muoneshe mtoto wako upendo kwa kununu tablets kutoka kwetu kwa bei nafuu ya Tshs 150,000
Tunapatikana dar kunduchi
Call/whatsapp: 0686332222
#ElimikaWikiendi