🇺🇸Pete Hegseth: "We didn't start this war. Iran started this war 47 years ago. We didn't start it. They did."
🇮🇷Abbas Araghchi 🔥: "Shut up. How many missiles have we fired on US soil in those 47 years? Zero 💪
How many of your leaders were killed or injured by Iran? Zero💪
The war started when you started bombing us." 🔥
Araghchi is a strategic genius 👏
Mzee kalea Familia yake kwa zaidi ya miaka 30 kwa biashara moja—leo anaona kabisa biashara yake haiendi kwasababu hakuna PESA mtaani, anapata nafasi kuuliza swali kwa GIRISHONI “PESA MMEPELEKA WAPI?” Girishoni anajibu kirahisi tuu “UMEJARIBU KUBADILISHA BIASHARA?”.
🇺🇸🇮🇷 Former CIA Officer John Kiriakou:
“If Iran sinks an aircraft carrier, it would trigger World War III. There’s no defense against hypersonic missiles, and Iran possesses them.”
Nilikuwa najaribu kumsikiliza Waziri Mkuu anasema "Taifa hili lina rasilimali za kutosha, na ndio maana watu wengine wanalimezea mate. Amezunguza rasilimali tulizonazo na ni kweli, Lakini mbona Watanzania hatufanani rasilimali hizo"?
Endelea kuwasikiliza vijana wa Uyole, Mbeya
🚨 Breaking:
🇮🇱 Israel: "We are activating our ultimate weapon tonight."
🇮🇷 Tehran: "We have had the blueprint for that 'ultimate weapon' ever since your chief scientist left his laptop in a Dubai hotel room last year. Try something else."
Mossad is in a bad spot.
IRAN 🇮🇷 IS BECOMING A BULLY AT THIS POINT 😂😂😂😂
So, Iran 🇮🇷 struck an oil tanker in the Strait Of Hormuz as it was being escorted by the United States 🇺🇸 Military 😭😭😭😭😭😭
Iran 🇮🇷 didn’t be like “Oh shit this tanker is being protected by the most powerful military on earth per Trump they targeted and hit their target 🎯😩😩😩
Iran 🇮🇷 is literally saying that the US can’t protect you from us NO ONE CAN
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ukishakua na SYSTEM mbovu ya Autawala Taasisi zote zinaoza.
Eti Mkufunzi wa chuo kikuu anaefundisha Siasa anakamatwa kisa alifundisha sayansi ya siasa kuhusu maandamano.
Abbas araghchi is cooking Marco Rubio in his own Style 👏
🇺🇸Rubio: "Iran has money. But instead of fixing the country, they send it to Hezbollah and Hamas. Every dollar from oil or sanctions relief."
🇮🇷Araghchi: "And the US? Rich too. But every extra dollar goes to Israel and allies for war. Spend it on Americans instead."🔥🤣
That was very brutal 👏
China openly challenges Trump.
Trump: "We need two billion dollars a day to reopen the Strait of Hormuz."
Chinese Foreign Minister: "The Strait was open before the war. The root of the problem lies in your illegal actions against Iran; you have created a global crisis out of nothing."
Iran just given a chilling warning to Trump 🔥
🇮🇷IRAN: "If 🇺🇸Trump's attacks keep going for the next 2-3 days, we move past deterrence. We go on offense. Total destruction. Your bases, your troops anywhere on Globe will be destroyed.
The ‘war and negotiation’ strategy is over."🔥
Trump can’t defeat a country whose leaders have this level of courage.👏
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
Chawa Nguchiro leo kanifurahisha katuma picha mtandaoni ikionyesha hali halisi ,Lissu anapigwa marungu kwa kuchangiwa . Na Majaji watatu wakiwa na mavazi yao wakishirikiana na Katuga.Majaji watatu anaimanisha ni Majaji wa Mahakama ya rufani anapigwa mpaka damu zinamwagika.
🚨 BREAKING:
🇺🇸 CIA: "We have successfully tracked the phone of Iran's nuclear chief."
🇮🇷 Iran IRGC: "That phone is currently connected to a stray dog wandering around Washington D.C. Check your GPS."
Ombi langu kwa Viongozi wa CHADEMA, Hizi namba zinazotuma michango ZIHIFADHIWE vizuri
Baadae mnaweza kutumia namba hizo kwa kuwapigia simu au kutuma SMS ya kuomba kura, michango, kutuma taarifa mbali mbali za chama n.k
Dunia ya sasa ni ya Teknolojia, Tuitumie Teknolojia
Mange aliwahi kutupa ushahidi namna ABDULI na mamaake walivyoitafuna hii nchi kwa kujenga mijumba ya kifahari.
WAPUMBAVU walinunua TILES za BILIONI 2.4–leo mnatuyumbisha na KIBANDA mnasema nyumba ya HECHE.
CHAWA PAIPU TUNAYOWAPELEKEA HAWAKUWA TAYARI NAYO.😂🙌🏿
Hivi kwanini Kitenge amefuta yale mahojiani ya yule mfanyabiashara wa mafuta ya petroli ,Akisema yeye hamjampa fedha heche Ila amechangia ccm milioni mia tano na yeye ni ccm akasema hajakimbia nchi yuko Africa kusini kwa matibabu.Uwongo una njia fupi sana.
Serikali yenye akili ilipaswa ifurahie mno pale inaposikia CDM wanachangiwa
(Especially kwa njia za mtandao)
na sio kuweka chuki na wivu!
Coz unapotuma muamala, kuna makato pia yanakatwa na makato hayo huenda kwa gavoo!!
So tunavyoichangia CDM, na hapo hapo tunaichangia gavoo kodi!
Tusiache kuiwajibisha serikali hii coz bado inatafuna kodi zetu!!