@cityboybuses mtoto wa mjini, Dar -Arusha-moshi vyuma VIP njia ya kaskazini mjipange. 2025 mtaona vitu.
@Alsaedy Dar -Iringa wahehe huwatoi humo
@kisbo kama mia
KELVIN - Davoo mdogo kiumri na umbo pia
✅️Very smart kichwani
✅️1000% kuzingatia sheria
✅️100.10% umakini
Yeye anakwambia anataka abiria wake wafike salama. 🤗 Yupo @cityboybuses DAR - MOSHI
Awapeleke mkale skukuu sasa. #wanazi#MySafariChamaLaWanazi
Good Feeling ya Safari za #Dar - #Arusha ni hapa @cityboy_express pekee.
Panga safari yako, na kata tiketi kupitia https://t.co/aGYCGfaPob, upo huru kuchagua safari ya Jioni au Usiku.
#CityBoy kuwa huru.
#onlinebooking#tiketimtandao#onlineticket