@ivymuthe Ata mi I used to be sifuna
Nikikumbuka day flani hadi nilikua mavitu nilikua naambia Kila mtu kwa wines uko longisa aseme wantam na aseme ye ni sifuna ndio nimshikie quarter alafu nikapanda gari kwenda bomet nikaambia Kila mtu kwa gari aimbe wantam niwalipie fare naishi wa pawa😭