Nimechili zangu maskani nmejikuta nmeshtushwa sana yani huko IG,X,FB, TikTok ni hashtag ya #UWTKwaKilaMwanamke nmejiuliza kuna nini kinaendelea Tanzania? Ikanibidi nifuatilie,kumbe ni @jokateM 🤣 aisee huyu dada anatisha sana na mvuto wake ni kura nyingi mnoo kwa @ccm_tanzania
@IAMartin_@ummymwalimu@nhiftz@IAMartin_ kijana wa hovyo mlopokaji wa ukanda wa mtandao wa X , watu wanafaika na mfuko wa bima ya afya @nhiftz na ndio maana takwimu zake n watumiaj wanaongezeka ila takwimu zako na waTZ wanakuumbua kwwn tushafaham n unatumika tu kuchafua,Watu wananufaika kutumia Bima, KARIBU
@IAMartin_@ummymwalimu@nhiftz Akili za kuambiwa changanya na zako dogo wanaokutuma wanakuponza kukupa maandik, kukutoa chaambo na huna uwezo wa kusimama na kiongozi yeyote mahakamani kwa hizo porojo zako unazotumwa na walanguzi, watu wananfaika na Bima @nhiftz we kazi yako kutumwa kwa Tsh20 unayolipwa UMEFERI
@IAMartin_@ummymwalimu@nhiftz Kweli kabisa umekaa ukaona ujumbe wa kuandika ni kudanganya umma,kwel we mzee wa pumba, ulichoandika hakina ukweli hata punje so binafsi nimuombe Waziri @ummymwalimu wala asipoteze muda wake kwako,Sisi tunaojua umuhimu wa @nhiftz tutakujibu, kwanza embu lete ushahid wa ukisemacho
@spana_Konki Ukisikia kufirisika kwa akili ndio huko huwez kuandika upuuzi kama huo ukaaminika kwa Watanzania ambao wanaona manufaiko ya matibabu bure katika vituo vya afya na hospital zote za serikali, hapo ni sawa na kujitekenya mwenyewe,Serikali kupitia wizara ya afya inatekeleza bilashaka
Mkiti wa CCM Mkoa wa Tanga Ndg @rajabuabdurrahman alipata nafasi ya kukagua mradi wa Hospitali Ya Wilaya Korogwe Vijijini na kutoa maelekezo yake.
Hatutasita kuishukuru mara zote serikali ya awamu ya sita chini Ya Dkt @SuluhuSamia kwa kuleta fedha za miradi mbalimbali ili kuboresha miundombinu lakini zaidi huduma hizi ziweze kuwafikia wananchi huko walipo.
🎥 *WAZIRI BASHE ATANGAZA UWEPO WA TUKIO KUBWA LA KILIMO NCHINI
Waziri wa Kilimo @HusseinBashe tarehe 15/8/2023 ametangaza uwepo wa tukio kubwa la kilimo nchini Tanzania (African Food System Forum 2023) ambalo lilizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwaka huu na Rais Mhe @SuluhuSamia
"Unyenyekevu, Upole, Utu na Kuthamini watu wengine ni njia sahihi ya kukusogeza karobu zaidi na watu watakaokupenda na kukuheshimu"
Mhe. Rais @SuluhuSamia#SautiYaMweneziCCM@sophiamjema1
Mwenyekiti wa @ccm_tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia ataongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 17 Agosti 2023.
Kwa ninavyoijua CCM haijawahi kushindwa inapotaka jambo lake liende na tunaomjua @sophiamjema1 tangu akiwa DC Temeke basi naamini tunaelewa namna Mama huyu anavyokuwaga makini na jambo lake, kwa kauli hiyo naamini amemaanisha hivyo sifikirii kama kuna zaidi ya CCM hapo 2024.
Julai 18, 2023
Baadhi ya Nukuu za Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe @jokateM akizungumza katika Hafla fupi ya kuhamasisha wananchi kuhudhuria kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa @ccm_tanzania Taifa Ndg. @chongolo_daniel utakaofanyika Viwanja vya shule ya mazoezi tarehe 19 Julai, 2023.
Julai 18, 2023
Baadhi ya Nukuu za Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe @jokateM akizungumza katika Hafla fupi ya kuhamasisha wananchi kuhudhuria kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa @ccm_tanzania Taifa Ndg. @chongolo_daniel utakaofanyika Viwanja vya shule ya mazoezi tarehe 19 Julai, 2023.
Hapa ndio utajua umuhimu wa kuwalea na kuwafunza vijana tangu utoto ndio maana @ccm_tanzania inazidi kuwa na nguvu, haina watu wa kukurupushwa, watu wake wote imewatoa kutokea chini ndio maana unaona @jokateM anawaga nondo za maana kwa waliofuatilia speech yake leo wamenielewa.
@hopnewstz@SuluhuSamia Mijitu mingine huwa inaropoka tuu hata hawajui kinachojadiliwa kipoje na kina maana gani, umenena vema #Amal lazima wapotoshaji waache kufanya hivyo mara jaana ni wanajishushia heshima yao mfano Bwana #slaa
"Serikali isichoke kufafanua na jutoa elimu kuhusu suala la uwekezaji katika bandar, lakini rai yangu kwenu wapotoshaji katika hili ni kuacha mara moja, dhamira yenu ya kuichafua serikali chini ya Rais Mhe @SuluhuSamia hamtafanikiwa" - Amaltemu
@kigogo2014 na wafuasi wako @mwewe_48 @Mapungo2020 niwaambie tuu achaneni na hiki chama @ccm_tanzania fikra za kupuyanga mnazoziwazaga na kuweka mitandaoni ni upuuzi, CCM ina imefunza watu kutunza SIRI na sio uropokaji, mlichokiwaza ni tofaut na Matokeo ya Kikao chao 🤣🤣 MMEFERI