Rais Samia hiki kiti cha mamlaka anatembea nacho kila mahali kama simu. Mnakumbuka Kuna siku alienda nacho mpaka kanisani? Leo kaibuka nacho kwa Mzee Malecela. Nadhani anashauriwa vibaya kuhusu mipaka ya hiki kiti, akiendelea hivi Kuna siku mnakuja kukuta Yuko nacho kwa Allah.
Rais @SuluhuSamia zipo sababu za kuingia sebuleni kwa Malecela na kiti chako?
Je, hatambui u-Rais wako? Unamuonyesha mamlaka na utukufu wa kiti?
Ndiyo njia sahihi ya kuwafariji wafiwa nyumbani kwao?
“Any man who must say ‘I am king’ is no true king at all.” - Tywin Lannister
Masta Shangwe yupo kitaa tayari kutimiza ndoto zako sikukuu hii! Endelea kutumia M-Pesa kufanya miamala mbalimbali na tumia usafiri wa Paisha upate nafasi ya kujishindia pesa taslimu, TV, Simu na nyingine kibao kutoka @VodacomTanzania#Pamojatunaweza#AmshaNdotoAmshaShangwe