@Coopbankenya Asanteni sana @Coopbankenya Thanks for the warm wishies am a youth from Taita Taveta si mnipatie ata kazi ya driver jamani na mimi ni customer wenu sanaa #Munguawabariki
@polo_kimanii Nakwambia mzee ni true wife wangu alishika ball tukabambika mbaya sana mpaka tukaenda kwa wazazi kuwashow pia wakambambika lakini mtoi alipokam nimekula msoto na niko na butchery business narun imenitoa siaka offlate lakini juzi nimejaribu tender ya shule flani ikajipa mzee naona