Nikifanya job Runda nshaijaribu kufit in kwa hizo groups za kids from wealthy families kutoka kitusuru ,Runda,Muthaiga,Palm Valley ,Nyari na Rosslyn .Friday ikifika Kila mtoto anapewa kshs 100k to 200k ya kujibamba na fuel ni full tank ,infact kuna hizo petrol stations around yenye their families ziko na cards wao ni kuweka kuweka .Mimi walikuwa wananipenda juu ya story zangu za Ghetto life ,those rich kids used to give me super audience buana when im cracking the jokes and also sometimes nawarapia . Alafu na kuwapeleka around ,kuwahook up na madem ,fine joints etc ..sometimes pia wananipa those heavier German cars nawanadrive around .
Sasa siku moja kuna hawa wenye wazazi wao ni Congolese na UK (ndio nlikuwa nawafanyia kazi ) ..walisema wanataka kufika ghetto usiku on a weekend waone how people live and party there . Mimi nkasema tufike Dandora . Wakanipa Range Rover Vogue niwadrive huko . Tukatoka kitu 9 p.m ..safari ni ya Dandora .Kufika huko juu najua some clubs hapo nkawaambia tuingie kwa one of them ,then tukaitisha kuitisha drinks ,chasers na food . Saa hiyo parking kila ghetto kid ametiiii kuona Range Rover Vogue . Zikashika kushika ..wakaniambia nifanye vile mimi hufanya ..nkafanya hivyo . Kufika kitu 1 a.m vita ikatokea kwa club . Watu wanapigwa na kuporwa . Wakanyanganywa kila kitu mpaka viatu . Kufika chini after lots of struggles the elder son akaniambia nimpe key ya gari then the younger one akaingia ndani ..nkashtukia wamechomoka . Na ni hivyo nlibaki Dandora pekee yangu usiku wa manane na pia Kazi ika isha .Hapo bado karibu wezi wanimalize wakiuliza mbona nkaacha wadosi waende . Kwao ilikuwa ni kama setup mamae .
Buana saa hii ningekuwa far sana ningewacha kiherehere .At sikuwahi rudi huko,ata sikuendea vitu zangu..Mimi nlirudi tu Kayole na kuendelea na my Ghetto life .
@_Sakko Umeona China imeambia Private schools that they can't make profits from schools because school is basic need... that's the laws we need to adapt.
Rich people can't have tax breaks while the lower class carries all the burden. Capitalism kills Bro