Nawakumhusha tu kwamba Mwaka 2017 wakati Magufuli ameanza kutumbua watumishi wa umma wenye vyeti feki Serikalini.
Kwenye list ya watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambao walikuwa na vyeti feki jina la Profesa Palamagamba Kabudi na lenyewe lilikuwepo kwenye list ila kilichomuokoa, Magufuli alimteuwa kuwa mbunge maana sifa ya Ubunge ni kujua kusoma na kuandika.
Ushawahi kujiuliza kwanini anatambulika kwa majina sita?
Kama hujui basi hiyo ni story ya siku nyingine😂
Hivi watanzania wanajua umbali wa kutoka Songea kwenda Bukoba(km 1,677) ni mbali
Kuliko Kutoka Songea kwenda mji mkuu wa Zimbabwe, Harare huku ukiwa umekatiza Malawi na Mozambique (km 1,416)???
Man United have beaten Liverpool, Arsenal and Chelsea away in the same season for the first time since 1984/85. 🤩
Not even Sir Alex Ferguson managed to do this in his 27-year reign. 🤯
Likija Swala La Series Za Intelligence & Crime Maua Waga Nawapa UK (British)
Slow Horses
Vigil
The Bodyguard
Night Manager
The Capture 🔥 (Now Watching)
Na Nyingine Nyingi Tu..
Hawa Jamaa Wanajua Kupanga Matukio Vyema 🍿
Highly Recommended 🍿
Kisa hiki kimenivutia kufungua dawati langu la uchunguzi jinai ambalo nililipa kisogo kwa muda mrefu kidogo.
In fact, niliuona mkasa huu, kama mikasa mingine ya kijinai isiyo na uzito wowote.
Maelezo ya kujikanganya, yakanitoa pangoni
Uzi👇
THE BROCKCHAIN
Mnisamehe Machief(MDs)🙏🏽. Najua hakuna free consultation. Ila once a month sio mbaya.
Let's have a Q&A kuhusu magonjwa ya Figo na Moyo. Kama una changamoto yoyote au swali kuhusu hayo. Tuongee niweze kukupa ushauri wa kitabibu bure.
Nipo Live leo kuanzia saa 11 hadi saa 2 usiku
AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE
Ikiwa wewe ni mwanamume mwenye maono, hatima (destiny), na kusudi, huwezi kuruhusu mwanamke asiye sahihi aharibu maisha yako. Biblia haimung’unyi maneno kuhusu hili; inakupa maonyo ya wazi na makali. Lakini wanaume wengi wanayapuuza na kuishia kufilisika, kuvunjika moyo, na kufungwa.
Hizi hapa ni aina 10 za wanawake hatari ambao Maandiko na hekima ya kimungu vinakuamuru ukae nao mbali kabisa:
1️⃣ MWANAMKE MZINZI (Mithali 5:3–5) ☠️
Midomo yake inadondosha asali, maneno yake ni laini, lakini miguu yake inaelekea mauti. Ni hatari. Ataharibu hatima yako kwa tamaa za mwili.
2️⃣ MWANAMKE MGOMVI NA MWENYE KELELE (Mithali 21:9 & 25:24) ⛈️
Ni afadhali kukaa kwenye pembe ya dari au nyikani kuliko kukaa nyumba moja na mwanamke mgomvi. Atanyonya nafsi yako, atamaliza nguvu zako, na kuzika amani yako.
3️⃣ MWANAMKE MSENGENYAJI (1 Timotheo 5:13) 👅
Watu wasio na kazi, wanaozurura nyumba kwa nyumba, wakiongea mambo yasiyofaa na kupanda mbegu za fitina. Kinywa chake ni silaha ya maangamizi. Kaa naye mbali.
4️⃣ MWANAMKE WA TABIA ZA YEZEBELI (1 Wafalme 21:25) 🐍
Mwenye hila, mchuuzi wa madaraka, mshawishi, na mwasi. Hataki kutii — anataka kutawala na kumdhalilisha mwanamume.
5️⃣ MWANAMKE MPIGA KELELE NA ASIYETULIA (Mithali 7:11) 📢
Ni mwenye kelele, mkaidi, na miguu yake haitawaliki nyumbani. Huyu ni wa mitaani. Nukta.
6️⃣ MWANAMKE MPENDA MALI (Mithali 23:4–5) 💰
Anakimbilia utajiri kuliko maadili. Anapenda anasa kuliko urithi wa kudumu. Atapenda pochi yako, siyo maono yako.
7️⃣ MWANAMKE ASIYE NA HESHIMA (Esta 1:17–18) 🚫
Kama Malkia Vashti, anakataa uongozi na kuharibu nidhamu ya wanawake wengine. Mwanamke kama huyu ataharibu mfumo na heshima ya kaya yako.
8️⃣ MWANAMKE MWABUDU SANAMU (Kutoka 34:16) 🕯️
Anawaongoza wanaume mbali na Mungu kupitia ushawishi na imani zake potofu. Atakufanya utumikie matakwa yake badala ya kutumikia wito wako.
9️⃣ MWANAMKE MVIVU (Mithali 31:27) 🛌
Mwanamke wa Mithali 31 hali chakula cha uvivu. Ikiwa ni mvivu, huyo si mwanamke wa Mithali 31 — huyo ni mwanamke wa "Mithali 0".
🔟 MWANAMKE MWENYE TABIA MBAYA (Mhubiri 7:26) 🕸️
Huyu ni mchungu kuliko mauti. Mikono yake ni kama minyororo na moyo wake ni mtego. Anayempendeza Mungu atamponyoka, lakini mwenye dhambi atanaswa naye.
HITIMISHO:
Waepuke wanawake wa namna hii kama ugonjwa wa hatari. Mwanamke mbaya anaweza kuharibu kile ambacho Mungu amekijenga ndani yako kwa miongo kadhaa ndani ya wiki chache tu.
Wewe hukuumbwa uwe mtumwa wa tamaa, hisia, au machafuko. Uliumbwa ili uongoze, ushinde, na uache urithi. Na unahitaji mwanamke ambaye atakuongezea nguvu, siyo kukuangamiza.
Sheria ni Sheria 🫵 ⚠️
Una bima ya afya? (NHIF)
Kuna kitu watu wengi hawajui… 👇
Usiamke na kwenda hospitali kubwa kama Muhimbili, Mwananyamala Hospital au Temeke, Bugando, KCMC n.k
Sikiliza hapa unachotakiwa kufanya
@AlexSamoja Mapenzi si pesa ila ikikosekana yanapungua
Oa mwanamke unayeweza kummudu bila pesa na omba Mungu akubali kutulia
Msichanganye mapenzi na zile flex za "Hey babe, I've sent you 4M go do yourself a favour" Hayo sio mapenzi wazee
Just be unpredictable coz ni human nature KUKINAI