Nime tumikia nafasi ya mwenyekiti vijana Jimbo la Arumeru Mashariki kwa miaka mi tano + katibu BAVICHA mkoa
SITA GOMBEA nawashukuru sana kwa ushirikiano katika nyakati zote tulizo pitia
BAVICHA ni kama jeshi la kizalendo inahitaji ujitoe na uwe na utayari
Asanteni sana
"Wakuu, huu sio mchanga
"Wakuu, hii sio show za wasanii wa bongo fleva
"Wakuu, huu sio mkutano wa injili
"Wakuu, huu ni mkutano wa CHADEMA Leo tarehe 17/5/2026๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Wakuu, asije mtu aka kwambia hii ni kampeni za TAL 2020
Wakuu hii sio ile kampeni ya NO REFORM NO ELECTION
Wakuu hizi sio kampeni za EDO 2025
Wakuu hii ni leo juma mosi tarehe 16/5/2025 KATORO๐ฅ๐ฅ
Jambo likisha kuwa mpango wa Mungu usi shindane nalo
Msajili wa vyama, Sisty Nyahoza.
Mpango wowote muovu mnaoletewa na jaribio la kutaka kuzia chadema kufanya kazi zake au kukifuta chama chetu utabackfire vibaya.
Hatutakubali Chama chetu kiwe kibaraka wa ccm..
Tunajua Kesi ya Said Issa na vibaraka wengine ni ya kwako..
mahakama imetuondolea zuio umekuja tena.
Kauli ya Mwenyekiti wa vijana ccm kupoteza watu, na kweli watu wanapotea Popole, Mdude na wengine wamepotezwa.
Kauli za kina Makala za Mpox na Ebora.. kauli za mauaji na kuchinja watu za viongozi wa ccm .. Zipo nyingi
Je umewahi kuwaandikia ccm barua kuhusu hayo?
Acheni tushindane kwa hoja na ccmโฆ
Ndio maana miongoni mwa mabadiliko, ambayo lazima yafanyike ni kufuta hii ofisi ya msajili inayotumiwa na ccm kudidimiza demokrasia.
"Ndugu wa Tanzania, kuna haja sasa ya kumtambua mzee Joseph Sinde Warioba kama Baba wa Taifa na Babu wa wajukuu zetu.
"Uzee wa umri hekima busara,, uwazi kusimamia ukweli na haki,, ni barakaka kwa Taifa.
@JamesMbowe4 Sikiliza James, nani asiye jua huyu mchungaji ni snich na alianza pale October ilipo karibia? Unakumbuka pale USA RIVER ali sema nini?
Je huyu alisha kukemea lolote juu ya vilio vya w Tz? Kama Yuko kimya si ana sapoti huo ushenzi?
Nikwambie tu James, wa TZ sio wajinga
RIPOTI YA MTAA. Tangu Jana tarehe 14/4/2026 makundi mbalibali yame kuwa na maoni ya kufanana
Vijiwe vya bodaboda vijana na wazee wana sema, kwa sasa ma bando yao yana tumika kuangalia mambo ya maana, MB zao haziendi BURE tena
Hii ni baada ya PRESS na interview ya @HecheJohn
Mmoja ni jirani yangu gari lake lili gongwa na basi la EXTRA LUXURY katiti, waka dai gari lake lilitumika kusomba mafuta Oct 29 barabarani hazikupitika magari pia yali chomwa moto
Wawili ni wajomba zangu fuso ili wachomekea waka gonga
Mfadhili wa hizi propaganda ana kazi sana
Hizi habari za kila anaye kufa Sing'isi ni mwizi wa mali za PANONE October 29 ni propaganda za kijinga
Wanao eneza hili ni wale ambao wala hawa kutoka, wali jifungia ndani, wanadai wamekufa vija 7 sio kweliโ ukweli vijana walio pata ajali na kufa ni wa 4โ kwa nyakati tofauti
Nasikia kuna watu hawaja furahi @Sativa255 kushereekea odds 80
Sativa ni taasisi kubwa, huyu mtu ame wekeza kwa watu
Angalia hapa alinipiga 300,000 nikiwa kwenye shida. Hakujali na yeye pia yuko kwenye matatizo, je huyu mtu nita msahau?
@Sativa255 aki shinda UMMA ume shinda
katika zomea zomea kwenye msiba wa mzee Mtei, haka ka dada kali zomewa sana, Yani karibu kaaribu msiba.
Sijui hakuelewa!! kadri alivyo jifanya kupangilia maneno ndo ikawa mbaya zaidi
Mpaka sasa, najiuliza kwanini aka zomewa kwa kiwango kile?
Mzee Edwin Mtei, founder member of Chadema, was buried last Saturday by a big crowd of family, Chadema leaders and wellwishers at Tengeru, near Arusha. He was many things in different contexts but in political terms he was a Titan who layed the foundations of political pluralism in TZ. Long live, Edwin Mtei!