@Mlaponi_@Wakazi Ni kweli mwanafunzi analipia elimu, lakini hata msanii hulipa kwa namna nyingine — kwa kipaji chake, muda wake, juhudi zake, na hata kwa sehemu ya mapato yake ya baadaye kupitia mikataba ya label. Sio kila kitu hulipwa kwa pesa taslimu.