@SuluhuSamia@yangasc1935 Mwaka wa kwanza nimesoma kwa madeni mengi na nikategemea mwaka huu nitakuwa mmoja wao kati ya wanufaika tunakuomba sana MAMA utoe neno lako heslb maana ww ndo mkombozi wetu kwa sisi continues
@SuluhuSamia@yangasc1935 Shikamoo mama yetu tunakupenda sana pia samahani sana kucomment kitu ambacho akihusiani na post yako am so sorry madame president ila tunaomba utie mkono wako heslb maana kama mm binafsi mwaka wa pili huu nakosa mkopo na ndoto zako naona zinakwama maana kutokana na hali yetu.
@TZMsemajiMkuu Kwahyo mwaka huu chuo natagemea kuacha ili kuangalia jinsi gani ya kulipa madeni ya mwaka wa kwanza ukiangalia na ishi na mama tu tena ni mfanyabiashara mdogo mdogo na maisha yangu yote nimesoma kayumba sijui vigezo gani vinatumika kiukweli tunaumia sana vijana tutapigaje hatua
@TZMsemajiMkuu Tuangalie na HESLB huku maana maisha yetu wanafunzi yamekuwa magumu kweli mfano kama Mimi mwaka wa kwanza nimeomba mkopo nimekosa na pia hata mwaka huu tena nimeomba mkopo nimekosa ukiangalia nilisoma kwa madeni mwaka wa kwanza nikitegemea Mungu ataniona mwaka huu nitapata
@panditi_ Kuingia hewa ndani ya engine ambapo inafanya kazi za
Cooling system kupunguza joto la engine and other components into the car
Combustion system pia inaenda kuungana na fuel katika chumba joto kufanya gari litembee kwa ratio husika.
@eastafricatv#Funguka kikubwa uwe teyari una uwezo wa kujitegemea ambapo unaweza kuilisha familia kwa siku bila kuwa ww ndo tegemezi kwa upande wa wanaume kwa ukubwa zaid
@HESLBTanzania Je tunaoingia mwaka wa pili na mwaka wa kwanza atukupata imekaaje hyo tafadhali maana tukikosa tunaona ndo itakuwa mwsho wangu maana nimesoma kwa madeni kwel