๐Hale
1.Ufundishe moyo wako kuridhika na ulichonacho.
2.Ishi duanini kama kesho hautaiona tena.
3.Boresha mahusiano yako Na aliyekuumba wewe.
4.Tenga muda kujiuliza wewe ni nani na umetokana na nini.
5.Wapende sana wazazi wako kama wapo hai na ikiwa wameshafariki waombee.
Kila mmoja anawakati wake usiiumie au kuumia pindi unapoona mwenzako anabarikiwa Maisha ni foleni kila siku inasogea na yako itafika tu.
#Climber#DuniaHainaRafiki
Cc @Adventure_36
Huyu mzee ana sauti fulani ya kimamlaka kwenye eneo la historia ya Tanganyika kiasi kwamba kila akiongea hauchoki kumsikiliza.
Composure yake inaonesha pia anakijua vilivyo anachokiongea.
Ana ile taste ya Sir David Attenborough kwenye documentary ya Planet Earth.
Salute!
Ewe mwana wa Adam ishi utakavyoishi lakini tambua wewe ni maiti kila unachokiona na unachomiliki utakiacha na hutoondoka hata na sindano tu, Dunia Haina Rafiki wa Kudumu.
#pichazasimu#MegaPlus
TUMESHINDA!
Nina furaha na heshima kubwa kutangaza kuwa nimeibuka mshindi wa tuzo ya Best Farmer Education and Awareness Campaign kupitia TMSA Awards.
Asanteni sana kwa Kura zenu ๐ฑ๐
Nimemsikiliza kwa umakini sana ndugu yetu @FKihamu na nikagundua uwezo wake wa akili ni mkubwa sana na anao uelewa mpana kuhusu maisha.
Mungu azidi kumfanikisha tu, He is a good father๐๐