@HildaNewton21 Be careful my love, leo umetumika na Abdul na mama yake bila wewe kujua. Please be careful next time. Chuja content unazoletewa kwa kina.
Leo wanaharakati tumefanya dirty work ya CCM. Tuwasaidia kumchafua Mwigulu bila wao kuonekana wanahusika.
Watanzania, Tanzania amkeniii, tuhakikishe Mwigulu anatoka kwa style ile ile ya Nchimbi, CCM wamtoe mchana kweupe ila sisi tusiwafanyie hii kazi ya kumuondoa Mwigulu.
Yes, wote tunamchukia Mwigulu ila let’s look at the bigger picture . Mwigulu is a small fish in the ocean, let’s deal with the big sharks, SAMIA, Abdul, Kikwete…..
Mshika mawili moja humponyoka. Ni lazma Watanzania tuchague moja……
Bunge la Ulaya leo lilikuwa linamuongelea Lissu, je sisi ndugu za Lissu tunampambania Lissu kwa nguvu kubwa inayostahili… Comments only hazisaidii ….
Kuna jinsi ambavyo huyu jamaa amejitoa kwa ajili ya Tanzania na Watanzania….
Na ni kweli matatizo yote ya haki tuliyonayo TZ yanatokana na kundi dogo la watu………. Watu milioni 70 tunabagazwa na kuuawa na kundi halizidi watu 100.
Past is a west paper, present is news paper and future is a question paper; so read & write carefully otherwise life will be a tissue paper. @cloudywayne