@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
UELEWA WANGU WA NENO KUKINUKISHA KUTOKANA NA KAULI YA KISIASA YA LISSU:
Kutokana na KAMUSI ya Kiswahili, neno hili lina maana mbili; NUKA & NUKIA.
NUKA:
Nilielewa kwamba, CDM kama chama cha siasa, kilipanga kueleza UBOVU wa CCM na Serikali yake & kwamba, havipaswi kubaki madarakani. Nia ya Lissu ya "kukinukisha" ni kuonesha mambo mabaya kama vile UFISADI, UTEKAJI, MAUAJAI, UBOVU WA NEC & RUSHWA.
Hili jambo ni HALALI na ni KAZI ya wanasiasa na chama cha siasa, lengo likiwa kuipa CCM taswira ya YAI BOVU, na hivyo wananchi wakae nayo mbali, kitendo ambacho kingewafanya wasishiriki uchaguzi & wakijua kwamba, kama wataipigia kura tena CCM, basi 'harufu' hiyo itaendelea kwa miaka mingine 5. Wananchi walielewa hilo ndio maana hawakushiriki uchaguzi.
NUKIA:
Nilielewa kwamba, wakati huo wa uchaguzi, japo CDM haitoshiriki, bado ni chama HALALI cha siasa na ilipanga kuelezea MAZURI & NIA NJEMA ya chama chao na kuelezea mipango yao madhubuti ya kuleta MABADILIKO & MAENDELEO ndani ya Taifa letu, na hivyo kutokana na UZURI na mvuto huo kama manukato (marashi), KUVUTIA wananchi wawe karibu na chama chao.
Haya 👆🏽 si makosa ya jinai, achilia mbali UHAINI. Mpaka sasa, DPP & POLISI bado hawajaiambia mahakama tafsiri ya KUKINUKISHA kwamba ni kufanya fujo wameitoa kwenye Kamusi ipi!
Lissu hata umletee shahidi mwenye PhD ya sheria toka OXFORD, HARVARD au STANFORD, bado atapigwa tu akiwa kwa kizimba. Mtu aliyetikisa Bunge zima & na mpaka sasa 'serikali', leo mnaokota 'shahidi' toka Tabata Relini amfanyie CROSS-EXAMINATION! Acheni kupotezea watu muda. #FreeTAL
@MkulimaKante Oya Master ni kweli majini wapo tena ni pis kali kinoma ila nyau zao za baridi, sema unakisea kuhusdhuria beach na baharini, hudhuria za mitini na ziwani utanishukuru. HAKIKISHA UNAJIFUKIZA NA MAGOME YA KARAFUU KWANZA.
RATIBA YA KWARESMA 2026 ✝️
• Jumatano ya Majivu – Feb 18: mwanzo wa toba na unyenyekevu
• Dominika za Kwaresma – Feb 22–Machi 22: safari ya sala, kufunga na matendo ya upendo
• Dominika ya Laetare – Machi 15: furaha katikati ya toba
• Dominika ya Matawi – Machi 29: kuingia kwa Yesu Yerusalemu
• Alhamisi Kuu – Aprili 2: Ekaristi na Ukuhani
• Ijumaa Kuu – Aprili 3: mateso na kifo cha Kristo
• Mkesha wa Pasaka – Aprili 4: ushindi wa nuru
• Pasaka – Aprili 5: ufufuko wa Bwana 🙏✝️l
Ni zaidi ya wiki moja, @fbuyobe anashikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi yetu.
@tanpol hawataki kumpeleka Mahakamani wala kumwachia.
Huu uonevu lazima ufike mwisho, hatuwezi kuishi kama watumwa ndani ya nchi yetu.
#FreeFortunatusBuyobe
Balozi Musinga . T. Bandora.
Nilikufahamu ulipojiunga na CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 ukiwa na matumaini ya mabadiliko ya Taifa letu. Ulikuwa mtulivu, mwenye busara na mchango wako ulikuwa wa thamani. Dhuluma dhidi ya haki zilituhuzunisha sote. Ninatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu awape faraja na nguvu katika kipindi hiki.
“Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.” (Wafilipi 1:21)
Pumzika kwa amani.
CHADEMA activist Lucy Simon Shayo has now been detained for 15 days without charges or court appearance since her arrest on Nov 30 in Tanga. Reports from party members indicate severe torture—she can barely stand. This unlawful detention violates Tanzanian law and basic human rights.
@HRW @AmnestyAfrica @UNHumanRights@ACHPR — act now!
#FreeLucyShayo
Fortunatus Buyobe anashikiliwa polisi Chang’ombe. Yuko rumande kwa sababu za kijinga tu. Relief ni kuwa yuko polisi. Kuanzia kesho tutadai uhuru wake kivingine: ashitakiwe au aachiwe.
Free Buyobe Now!!