Academic member Department of Biosciences at Sokoine University of Agriculture. Main research areas are Conservation Genetics, Population Genomics and Evolution
@Clement_Mzize All the best mdogo wangu, unazidi kupaa sasa. Muda wako rasmi unakuja, usikubali kurubuniwa kwasasa. Jengeka zaidi kwanza ili upate mafanikio makubwa zaidi
@Clement_Mzize Mungu azidi kukupigania na kukufungulia milango kijana wetu. Huna baya nasi, wewe ni Hazina ya Taifa. Hivyo popote utakapokuwa pambania maisha yako pamoja na Taifa letu. Historia yako ni ngumu. Ni Mungu tu
@Clement_Mzize Hakika Mungu atazidi kukujalia, nasi wapenda soka tunakuombea dua zetu pia. Bado tunaimani kubwa nawe. Ungeza jitihada na kumcha Mungu pia. Bado una safari ndefu katika kujenga jina lako katika soka, na vilevile kuliwakilisha Taifa letu katika ulimwengu wa soka.
@TwahaKiduku Hakika umeudhihirishia ulimwengu katika ubora wa ngumi ulingoni. Kelele za media hazikukutoa katika focus na uwezo wako, umewanyamazisha kwa vitendo. Usibweteke, bado unasafari ndefu katika kujenga jina lako na kuliwakilisha taifa letu vema katik ulimwengu wa Boxing.
@mudathiryahya27 Keep it up brother. Bado una nafasi kubwa ya kujenga jina lako katika mpira, na hata kuliwakilisha vema taifa letu kimataifa. Hakika tunajivunia nawe.
@HKigwangalla Huyu ndiyo mama, wote ni watoto wake na ana mapenzi ya kweli kwa wananchi, pamoja na wanamichezo wote. Nasi tuige kwa kudumisha amani, mshikamano na uzalendo kwa nchi yetu pamoja na maendeleo kwa ujumla. HONGERA sana Mh. Raisi wetu Dr. Samia Suluhu HAssan.