Usikubali kupoteza marafiki kizembe ingali bado ni kijana mwenye ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa, Biashara yako ni marafiki wanaokuzunguka, TAKE NOTE be +VE
#pleusp#5starG#codeboybreezy#codeboyafrica#mcb#cb
Kwenye maisha jitahidi kufanya yale yanayo kuhusu wewe zaidi kuliko kufanya yale yanayo wafurahisha watu.
remember age & time ni vitu vinavyo songa mbele na kamwe havirudi nyuma, challenges zisikufanye ukashindwa kufocus on your dreams
#takeaction#makeyourown#behappy
@TunduALissu aliekuambia uongozi ni kuiga kama wanavofanya watu wengine ni nani? in fact sio lazma aje ikulu ndo aongoze hata akiwa chato bado anauwezo wakuongoza nchi vizuri tu....sorry bt huna fact yeyote katika hilo kwaiyo usitumie daraja ili uonekane unajua sana kuongea your wrong ktk hlo
@akaworldwide no matter how people try na to say shit about you,the good thing is that we all africans and we should focus on love and peace#good MUSIC
@jmkikwete walimu wanateseka sana,wanaishi maisha magumu kama unavyomuona huyo mwalimu kafundisha mpaka kazeeka lakini hali ya maisha ni duni,aliowafundisha wanamaisha mazuri tena ya hali ya juu,TANZANIA inatakiwa kutambua umuhimu wa mwalimu kuanzia sasa
SOUTH KOREA!!!! SEOUL!!!! SOUTH KOREA!!!!....I WILL BE PERFORMING LIVE THIS APRIL 27TH......PLEASE GET YOUR TICKET NOW AND WE FILL THIS HWAJUNG GYMNASIUM HALL APRIL 27TH!!!!.....π₯ππ₯
#SimbaInSouthKOREA